Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Mtu yeyote anakufa saa yeyote au kuwa kilema hata kama anaendesha hammer acha dharau kijana
Ajira yake ni kubet, hana akili kichwani.

Wewe Masikini acha kulialia hii hela ya mboga unayo hapo kwenye account Yako
Kwahiyo huu ndio utajiri?

😀 😀

Dogo hapa JF sio Fesibuku kwa watoto wenzako,unajichoresha tu,watu wanakushangaa,

Ila kwa jinsi unavyoendelea kukua, ipo siku hii post yako utakuja kujidharau sana na kujicheka.
 
Onyesha kama hiyo tu pesa ya mboga niliyokuonyesha ambayo ipo kwenye simu tu niamini kama unaweza hata kununua bodaboda ukawapa masikini wenzio kelele za nini onyesha kama hiyo tu pesa ya mboga ambayo wife akienda nayo sokoni harudi nayo tena 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bodaboda ina hela
Mtu kulaza 30 Kwa siku ni laZima
Hapo Kwa mwezi laki 9
Ni watumishi wachache wa umma wanalipwa laki 9
Bodaboda wanajenga, watoto wanaosoma, wanaendesha familia

Usidharau kazi ya mtu
Mtoa uzi unaezakuta analipwa laki5 salary afu anakuja kuharisha kwa watu wenye akili as if naye anazo
 
Back
Top Bottom