Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Bodaboda ina hela
Mtu kulaza 30 Kwa siku ni laZima
Hapo Kwa mwezi laki 9
Ni watumishi wachache wa umma wanalipwa laki 9
Bodaboda wanajenga, watoto wanaosoma, wanaendesha familia

Usidharau kazi ya mtu
Kazi zote zenye masilahi mazuri huwa hazikosi riski.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Wewe kweli kilaza sasa sauli alikua bodaboda hivi unaakili timamu kweli huo umasikini wako wa bodaboda usijipe moyo kwasababu sauli alikua anazikubali pikipiki na wazungu wanaend jiulize mbona alikua hakai kijiweni kusubiri buku kama wewe Kwa wewe unaendesha pikipiki sababu ya njaa imekuzidi kutokana na umasikini wako huna lolote
Hujui unacho kisema jinga wewe, fuatilia historia yake b4.
Boda boda nimeifanya sana na imenipa pesa nyingi, nielekeze ulipo nije nitakavyo kubebea mkeo Kwa kazi ya boda boda.

Watu dizaini yenu mnavipesa vya mashariti kutoka Kwa waganga ndo maana humuna akili mmejaa dharau.

Hamjui kutafuta pesa Kwa jasho isipokua Kwa ndundami.!
Bwege we, badilika upesi otherwise kufuru zako zitakutokea puanie.
 
Yaani hiki chombo cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi, aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda chali.

Mimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya bodaboda, naonaga wanasiasa wanawasifia na yenyewe yanaona sifa kwamba ni kazi ya maana kumbe siyo yaani unakufa kisa buku si ujinga huu.
Unakuta mtu anapiga simu redioni anajiita Hamisi Dereva Bodaboda Masasi, Mtwara miaka na miaka bado Bodaboda tu.
 
Hujui unacho kisema jinga wewe, fuatilia historia yake b4.
Boda boda nimeifanya sana na imenipa pesa nyingi, nielekeze ulipo nije nitakavyo kubebea mkeo Kwa kazi ya boda boda.

Watu dizaini yenu mnavipesa vya mashariti kutoka Kwa waganga ndo maana humuna akili mmejaa dharau.

Hamjui kutafuta pesa Kwa jasho isipokua Kwa ndundami.!
Bwege we, badilika upesi otherwise kufuru zako zitakutokea puanie.
Wewe Masikini unahasira za nini tafuta hela boya wewe nitawagongea sana wake zenu na mkeo anafuata lazima nimgonge maana napenda sana kuginga wake wa bodaboda watamu sana unakaa kijiweni kusubiri buku unafikiri utatajirika kama sauli wewe kweli ndezi
 
Tusiwe wepesi kupanua midomo yetu

Ni ushauri tu.... Mimi kazi yangu ni kusambaza gesi majumbani kwa kutumia pikipiki na kila siku naweza kufanya safari 30-40 kitu ambacho kabla ya hapo sikutegemea kufanya kazi kama hii
Mtu mwenye akili timamu huwezi kuwa bodaboda halafu na wewe acha habari za kusambaza gesi kama boya tafuta kazi ya kueleweka sio ya kimasikini kama hiyo
 
Pamoja na ukweli kwamba mimi binafsi ni nadra sana kutumia usafiri wa bodaboda kwa sababu mbalimbali kubwa ikiwa ni usalama ila kamwe sijawahi kabisa kufikiria kuidis hiyo kazi.
Ndugu yangu sio vizuri kudharau kazi halali kabisa anayoifanya mtu .
Ukweli ni kwamba bodaboda wengi wanafanya kazi hiyo kwa kuwa hawana jinsi
 
Ukipata pesa sharti ni kutumia kama nilovyofanya sio unakua bodaboda unakufa Kwa ajili ya kugombania buku
 
Pamoja na ukweli kwamba mimi binafsi ni nadra sana kutumia usafiri wa bodaboda kwa sababu mbalimbali kubwa ikiwa ni usalama ila kamwe sijawahi kabisa kufikiria kuidis hiyo kazi.
Ndugu yangu sio vizuri kudharau kazi halali kabisa anayoifanya mtu .
Ukweli ni kwamba bodaboda wengi wanafanya kazi hiyo kwa kuwa hawana jinsi
Hiyo sio kazi ni uchafu
 
Back
Top Bottom