Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hiyo mbona kawaidaNa mimi huwa nashangaa inakuaje mtu anashindwa shabikia timu mbili katika ligi moja.
Kwa huyu jamaa zikicheza man u na arsenal havai jezi yeyote ataeshinda kesho yake ndio anatinga jeziHaiwezekani hiyo mkuu, lazima kuna upande utazidi
DuuhNi kama kuwa na Mpango wa kando vile
DuuhKwa huyu jamaa zikicheza man u na arsenal havai jezi yeyote ataeshinda kesho yake ndio anatinga jezi
Hatari mkuuDuuh
Ila huenda inawezekana, hatujui .Hatari mkuu
Labda aiseeIla huenda inawezekana, hatujui .