Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kuna machawa makubwa yanaitwa papasi, ndiyo hili hapa.Kipimo sahihi👇View attachment 3269178
mkuu ukweni unakula sana au inakuwaje?Ukweni Au Kwako Mkuu??
😇🙄⁉️Kama ni Mzaramo au ukanda huu wa Pwani nisu kikombe chai na andazi moja au kitumbua kimoja nau nusu chapati.
Lakini kwetu kabisaaa ngosha wa ngisha LITA 4 chai na sio siturungi weka maziwa yakolee iwe nzito vitumbua vya kilo 1na nusu mchele nadhani 16 hivikwa aibu najifanya Nimeshiba. Ila nikitoka nile hata ugali wa maana.
Hapo hakuna cha kutafuta nguvu za Kiume, ZIPO ZA KUTOSHA
Hamna Unavunga unakula kiainamkuu ukweni unakula sana au inakuwaje?
kiongozi apo unaongelea mtu wa KAWAIDA au?😇🙄⁉️
mkuu huyu wa maandazi au vitumbua vitatu ni me au ke?Chapati mbili
Maandazi matatu ama vitumbua vitatu tu.
Utakunywaje chai ukweni? 😁Ukweni Au Kwako Mkuu??
Aisee😂Kuna Mwamba nilikutana naye Tanga alikuwa anakula chapati 10 Hadi 12. Hadi akawa anaenda kunywa chai sehemu tofauti tofauti kwa kuona watu watamshangaa.
Ila watu sijui mnatoaga wapi picha hizi😂Kipimo sahihi👇View attachment 3269178