Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kuna machawa makubwa yanaitwa papasi, ndiyo hili hapa.Kipimo sahihišView attachment 3269178
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna machawa makubwa yanaitwa papasi, ndiyo hili hapa.Kipimo sahihišView attachment 3269178
mkuu ukweni unakula sana au inakuwaje?Ukweni Au Kwako Mkuu??
ššāļøKama ni Mzaramo au ukanda huu wa Pwani nisu kikombe chai na andazi moja au kitumbua kimoja nau nusu chapati.
Lakini kwetu kabisaaa ngosha wa ngisha LITA 4 chai na sio siturungi weka maziwa yakolee iwe nzito vitumbua vya kilo 1na nusu mchele nadhani 16 hivikwa aibu najifanya Nimeshiba. Ila nikitoka nile hata ugali wa maana.
Hapo hakuna cha kutafuta nguvu za Kiume, ZIPO ZA KUTOSHA
Hamna Unavunga unakula kiainamkuu ukweni unakula sana au inakuwaje?
kiongozi apo unaongelea mtu wa KAWAIDA au?ššāļø
mkuu huyu wa maandazi au vitumbua vitatu ni me au ke?Chapati mbili
Maandazi matatu ama vitumbua vitatu tu.
Utakunywaje chai ukweni? šUkweni Au Kwako Mkuu??
AiseešKuna Mwamba nilikutana naye Tanga alikuwa anakula chapati 10 Hadi 12. Hadi akawa anaenda kunywa chai sehemu tofauti tofauti kwa kuona watu watamshangaa.
Ila watu sijui mnatoaga wapi picha hizišKipimo sahihišView attachment 3269178