Hivi mtu wa kawaida anatakiwa kunywa chai na vitafunwa vingapi?

Kama ni Mzaramo au ukanda huu wa Pwani nisu kikombe chai na andazi moja au kitumbua kimoja nau nusu chapati.
Lakini kwetu kabisaaa ngosha wa ngisha LITA 4 chai na sio siturungi weka maziwa yakolee iwe nzito vitumbua vya kilo 1na nusu mchele nadhani 16 hivikwa aibu najifanya Nimeshiba. Ila nikitoka nile hata ugali wa maana.
Hapo hakuna cha kutafuta nguvu za Kiume, ZIPO ZA KUTOSHA
 
šŸ˜‡šŸ™„ā‰ļø
 
Kwa huku kwetu uswahilini chai ya rangi na vitumbua 4 kwa 100/-kimoja inatosha sana...
 
Angalia uhitaji wa mwili wako maana hutegemea na unafanya kazi gani, malezi yako ya utotoni na familia inayokuzunguka.
 
Mkuu Chai na Donuts/Vitumbua si balanced diet.

Ushauri wangu jaribu kutafuta mtaalamu wa Afya ili akusaidie kujua ule nini kulingana na Umri wako, Uzito, urefu, Kazi unazozifanya hata Mazoezi unayoyafanya.
 
Back
Top Bottom