Hivi mtu wa kawaida anatakiwa kunywa chai na vitafunwa vingapi?

Hivi mtu wa kawaida anatakiwa kunywa chai na vitafunwa vingapi?

Binafsi nakulaga maandazi 4 au 5 ndio Huwa najisikia vizuri tena haya ya mia mia Chapati Huwa nakula 3 ndio nimeshazoea hvyo
 
Back
Top Bottom