Hivi mtu wa kawaida anatakiwa kunywa chai na vitafunwa vingapi?

Hivi mtu wa kawaida anatakiwa kunywa chai na vitafunwa vingapi?

Chai chapati 2.jpg
 
Binadamu unatakiwa ule protein kwa wingi milo yote. Kwa asubuhi ni vyema ule Mayai, sambusa, soseji, nyama, maini au maharage.
 
sasa kiongozi ukishameza vyote ivi (hasa ayo mayai) hlf unakaa mwenyewe au
Sio lazima ule vyote, unakula baadhi yake tu, pia kukaa mwenyewe sio sababu ya kula mlo wa kifungua kinywa duni kama wa chai ya rangi na vitumbua, chapati au maandazi tu kama waswahili walivyozoea.
 
Back
Top Bottom