Hivi mtu wa kwanza kujua kusoma na kuandika alifundishwa na nani?

Hivi mtu wa kwanza kujua kusoma na kuandika alifundishwa na nani?

Adam alipewa jumla ya elimu yote ya dunia Kila kinachoibuka duniani ni matokeo ya zawad ya asili aliyopewa Adam na muumba

Jibu swali, adamu alijua kusoma na kuandika?
Kusema Adamu alipewa Jumla ya Elimu yote Wakati huohuo tunaona Adamu akipigwa pini na Shetani ni kuudanganya Ulimwengu.

Adamu alikuwa primitive hakuwa na Elimu kuuubwa hata ya kutengeneza Simu
 
Me nachodhani kuna watu ambao tunawazaga kuunda mifumo ya watu wengine kuiishi kwa madhumuni fulani! Halafu kuna wale binadamu wanao ishi na kufa bila athari! Kila jambo au hali iko na sura 2 tangu dunia iumbwe!
 
Jibu swali, adamu alijua kusoma na kuandika?
Kusema Adamu alipewa Jumla ya Elimu yote Wakati huohuo tunaona Adamu akipigwa pini na Shetani ni kuudanganya Ulimwengu.

Adamu alikuwa primitive hakuwa na Elimu kuuubwa hata ya kutengeneza Simu
Kazi kweli kweli! kuna mda umeenda vizuri ila badae sasa kilichoendelea sielewi ni nini

Adam angetengeneza simu kwa ajili ya nini? simu kazi yake kubwa ni kufanya mawasiliano baina ya pande mbili kuwa rahisi.Sasa huyu Adam simu angeteneza hili awasiliane na Abel,Cain,Hawa au yupi?(Maana kwa maelezo ya vitabu vya dini hii ndio ilikuwa population ya dunia wakati huo)

Kwahiyo na nyie ni primitive sio?(kwa maana najua kutengeneza simu ni kitendawili).Sema hii aina ya reasoning sio nzuri home boy
 
Back
Top Bottom