Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 2,050
- 2,964
Kuhesabu miaka kulianzia baada ya kristo sasa hili la adamu miaka 900 imekaaje au ndio hesabu za Anno Domino?Mpaka Adamu anakufa Dunia ilikuwa ishajaa vyakutosha,
Adamu kaishi karibu Milienia moja, miaka Mia tisa na ushee,
Dunia ilikuwa imeshajaa Watu Kwa kiwango kinachohitaji mawasiliano rahisi ya simu.
Au miaka Mia tisa unaichukuliaje.