Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,220
- 3,186
Adam ndo aliandika kuhusu uumbaji?Kuna vitu kama hivi vinafanya wapinga Mungu wanakwama, Allah kaeleza mwenyewe kwenye Quran alimpa Adam elimu ya Kila kitu duniani kwahiyo Kila kinachotokea kwetu ni matokeo ya elimu aliyopewa Adam na Allah kwani sisi ni wana was Adam!!!!
Acha uongo basi cain alipigwa chapa usoni ili asije kuuliwa huko atakapokwenda,kulikuwanawatu wengi tu enzi hizoKazi kweli kweli! kuna mda umeenda vizuri ila badae sasa kilichoendelea sielewi ni nini
Adam angetengeneza simu kwa ajili ya nini? simu kazi yake kubwa ni kufanya mawasiliano baina ya pande mbili kuwa rahisi.Sasa huyu Adam simu angeteneza hili awasiliane na Abel,Cain,Hawa au yupi?(Maana kwa maelezo ya vitabu vya dini hii ndio ilikuwa population ya dunia wakati huo)
Kwahiyo na nyie ni primitive sio?(kwa maana najua kutengeneza simu ni kitendawili).Sema hii aina ya reasoning sio nzuri home boy
Ok! nlkuwa sijui but focus kubwa ilikuwa Adam na ambavyo hakuweza kugundua simu.Asante kwa kunikumbusha japo vitabu vya dini havina maelezo hiyo population nyingine uliyotaja ilitoka wapiAcha uongo basi cain alipigwa chapa usoni ili asije kuuliwa huko atakapokwenda,kulikuwanawatu wengi tu enzi hizo
Watoto wa adamuOk! nlkuwa sijui but focus kubwa ilikuwa Adam na ambavyo hakuweza kugundua simu.Asante kwa kunikumbusha japo vitabu vya dini havina maelezo hiyo population nyingine uliyotaja ilitoka wapi
Kama Mungu ndio aliwapa watu huo uwezo,yeye aliutoa wapi?Kuna vitu kama hivi vinafanya wapinga Mungu wanakwama, Allah kaeleza mwenyewe kwenye Quran alimpa Adam elimu ya Kila kitu duniani kwahiyo Kila kinachotokea kwetu ni matokeo ya elimu aliyopewa Adam na Allah kwani sisi ni wana was Adam!!!!
Kazi kweli kweli! kuna mda umeenda vizuri ila badae sasa kilichoendelea sielewi ni nini
Adam angetengeneza simu kwa ajili ya nini? simu kazi yake kubwa ni kufanya mawasiliano baina ya pande mbili kuwa rahisi.Sasa huyu Adam simu angeteneza hili awasiliane na Abel,Cain,Hawa au yupi?(Maana kwa maelezo ya vitabu vya dini hii ndio ilikuwa population ya dunia wakati huo)
Kwahiyo na nyie ni primitive sio?(kwa maana najua kutengeneza simu ni kitendawili).Sema hii aina ya reasoning sio nzuri home boy
Kuamini kimbumbumbu huko. Kuandika na kusoma ni vitu vya juzi tu. Huyo Adam wako alikuwa anasoma nini. Uvivu wa bichwa lako ndo unataka kuchukua vitu for granted?Kuna vitu kama hivi vinafanya wapinga Mungu wanakwama, Allah kaeleza mwenyewe kwenye Quran alimpa Adam elimu ya Kila kitu duniani kwahiyo Kila kinachotokea kwetu ni matokeo ya elimu aliyopewa Adam na Allah kwani sisi ni wana was Adam!!!!
(2:31) Then Allah taught Adam the names of all things and presented them to the angels and said: βIf you are right (that the appointment of a vicegerent will cause mischief) then tell Me the names of these things.βAliyetuumba ndiye aliyetueleza jambo hili kaka Quran 2:31
Modification of the "Book"
QURAN 96: 1-5
1. Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba,
2. Amemuumba binaadamu kwa tone la damu,
3. Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu mno!
4. Ambaye amemfundisha mwanadamu kuandika kwa kalamu.
5. Kamfundisha mwanadamu aliyo kuwa hayajui.
Adam alipewa elimu (ujuzi na utambuzi) ambao kulingana na muda na zama tunavyoendelea kuzaana ndivyo unavyoongezeka, ndio maana we na akili zako zote huwezi kusoma kitu usichokitambua (fikiria vizuri π€π€).Jibu swali, adamu alijua kusoma na kuandika?
Kusema Adamu alipewa Jumla ya Elimu yote Wakati huohuo tunaona Adamu akipigwa pini na Shetani ni kuudanganya Ulimwengu.
Adamu alikuwa primitive hakuwa na Elimu kuuubwa hata ya kutengeneza Simu
Aliyeandika hcho kitabu yeye alijuaje"Soma kitabu cha Sapiens brief history of Human kind" soma hichi kitabu utaanza kujua hata lugha ilikuwaje ikatokea
Pazuri sana hapo, kama kuna mtu anaweza kufanya hivyo (kuanziaha lugha na kabila) basi afanye kama kweli anaweza, hivi ni vitu ambavyo Mungu tayari alikwisha tuandalia kabisa, yawezekana kuna jamii ya watu wenye lugha yao hawajagunduliwa tu wako wapi lakini hakuna na haitawahi kutokea lugha mpya (ukibisha ianzishe πππππ)Mkuu hata we unaweza tengeneza lugha yako tu Ni ushawishi wako kwa jamii hata maandishi ya kale yanakutwaga huko aridhini ila yanashindikana kusomwa maana Yana maandishi tofauti na haya tunayo tumia sisi kwa Sasa
Amen... hata herufi za kichina zilibuniwa tu taratibu taratibu!Ilikuwa ni ubunifu tu.
Mtu anaumba herufi Moja na wanaelewana watu wote kuwa hii itakuwa. "A"
MUNGU ATUKUZWE