Hivi munampigia nani?

Hivi munampigia nani?

Hapa kidogo nimeridhika lakini tatizo hata umpe ngapi ye nikubeep tu,
tena hata ukimuwekea hakukumbuki mpaka salio lielekee ukingoni na
ukiongea nae haonyeshi kupenda sana kuendelea na mazungumzo!

Mkuu usimchunguze sana bata alacho hutakula nyama yake
We fanya kile ambacho kiko ndani ya uwezo wako na then acha mambo mengine yakae kama yalivyo
Kuna mambo hayachunguziki sana
Na katika hii dunia mwanamke ni kiumbe ambaye haeleweki na hata maandiko yanasema katika vitu ambayo havieleweki na vya ajabu sana ni mwendo wa mwanaume akiwa na msichana yaani yale yanayofanywa kati ya mwanaume na mwanamke
 
Hata mie nashangaaga sana,unatuma 5000 akibeep ukipokea tu maneno mwanzo mpaka mwisho khaaaaaa
 
AlhamduliLlah, mie mume wangu kaniwekea post paid. Hata sijui analipa lini. The catch is "anajuwa namba zote nnazozipiga" si unajua mambo ya bill za simu.

Nakushauri mleta mada badala ya kutuma voucher m "surprise" mkeo kwa simu mpya ina post paid facilities. Kwanza inakuwa na dakika nyingi tu za bure, discounts na hakuna tena kutuma vocha na utapigiwa kila siku na utaona ni wapi mkeo anapiga simu bila hata ya kumuuliza. Ukikuta ana simu nyingine zaidi ya hiyo, majibu unayo wewe.
 
Unanikumbusha X BF wangu, nilikuwa nabeep ye anapiga tu hatumi vocha kama nataka kuongea
na mtu na vocha sina alikuwa ananiunganisha kupitia simu yake kwa hiyo yeyote nitakayeongea
naye yeye alikuwa anasikia ingawa alikuwa hachangii kitu. Tumeachana lakini tatizo ni jingine na sio hilo
la simu. Vipi unapenda hiyo staili?

duuuuuh, huyo jamaa ni kiboko...
 
Halafu na wewe uache kulalamika, yani buku 2000 ndo unalialia hivyo. Wenzako tunasemaga hivi, nina shida ya laki mbili mpenzi, naweza kupata leo jioni? Hapo ni saa nane mchana.........ha ha ha unauilizwa za nini nataka nijze gri mafuta kabisa manake.....................................hapo humalizii hiyo manake wala nini..............

Ulikuwa unahitaji jioni ya saa ngapi sasa, kama saa 11 hivi.....ha ha ha, halafu n ile nguo yangu kwa fundi aliniambia nipitie leo, ilibaki elfu hamsini. Yani hapa nilipo hata senti tano sina ungeniongezea na elfu hamsini ingenifikisha Ijumaa..................hapo ni jumatano hiyooooooooo

Saa kumi na moja mzee unakiona kibaba kinatokea, kinafungua wallet kinakukabidhi laki 2, hapo hakuna kuulizwa yani mafuta ya laki? Noo Hakuna maswali.......ACHA KULIA

we hufai...
 
Imekuwa ni kawaida kwa wanawake wengi kuomba salio
kwa wapenzi wao, ajabu ni kwamba huwa hampigi simu
bali mmezoea kubeep, tena hata ukitumiwa salio bado utabeep
Asubuhi tu umetuma 5,000 Jioni anakubeep, bado sijaelewa hapa!

Hivi ninyi ni nani hasa huwa mnapenda kumpigia?
kumbe hii tabia ni ya wanawake wengi sana!!! maana kila mwanaume analalamika
 
lol ila kweli bwana wanawake wengine tumezidi! Pole GAZETI but isikupe presha si unajua kula zile "Tuma SMS ushinde"? tunajaribu bahati zetu!
 
Nyumba ndogo yoyote na kidumu au kindoo kule nahonga maana sipaswi kufanya hayo
Ila kwa wife ni wajibu na ni lazima nitoe hilo halina mjadala
Pia kwa yule friend ambaye sio kidumu wala kindoo wala nyumba ndogo bado nahonga nikitegemea fadhila siku moja

kwanini nyumba ndogo ndio useme unahonga. Kwani anachokupa nyumba ndogo si ndicho anachokupa mkeo au?
Halafu unamaanisha rafiki yako yoyote ukimsaidia umemuhonga kisa unataraji fadhila?
 
Mi naendelea kusisitiza kuwa humu tupo wa vipato tofauti. Kuna wakati (si miaka mingi iliyopita), nilikuwa siamini kama kuna siku nitakuja kumpa mwanamke sh elfu 20. lakini sasa hivi ni quit different...

Alaf msidhani wa kupewa hela nyingi ni kiwango sana zaidi ya wa kupewa hela kidogo, no wengine ni zali tu. Alikuwa anapokea buku 2 jana, leo kakutana na kibosile anapokea minimum laki kadhaa, au alikuwa anapewa laki ya kusuka jana, leo limebumburuka yuko na jamaa ambaye akimpa buku tano anashukuru Mungu.

Sio siri mitaani huku kuna wanawake wakali ile mbaya lakin wanahongwa chipsi kuku wanatoa kila kitu na ukienda nao kitandani unaweza cheza hata na goli 6 na bado usikinai. At the same time wapo wa malaki na bado ujanja hana on ze bed, gogo, gogoooo....

Kwa hiyo ndugu yangu mtoa mada wala usiumie kichwa watu wanapokwambia wanahongwa malaki ukadhani kuna watu wanafaidi kuliko wewe...
By the way, hao wanaohongwa laki mara nyingi wanabweteka, na mapenzi hawajui kabisaaaaaa...
 
Umenikumbusha mshkaji wangu wa enzi hizo, meseji toka kwa gf zilikuwa 2! 1, senkyu + 2 dear unaweza kunitumia vocha?
 
Nimeipenda hii.................:flypig:makofi tafadhali
we umependa nini hapo? Hujui kuwa watu kama hao wakiombwa chochote na wazazi wao
huko vijijini hutuma 25,000 kwa M- Pesa huku ikifuatiwa na majigambo kibao kuwa anasaidia
wazee.
 
huo ni ubahili,unatoa kwa condition?kwani lazma akupigie kisa umemtumia vocha he he he!
Tatizo inapokuwa kawaida! yaani siku zote ye hapigi
ni kuomba vocha tu!
 
Mi naendelea kusisitiza kuwa humu tupo wa vipato tofauti. Kuna wakati (si miaka mingi iliyopita), nilikuwa siamini kama kuna siku nitakuja kumpa mwanamke sh elfu 20. lakini sasa hivi ni quit different...

Alaf msidhani wa kupewa hela nyingi ni kiwango sana zaidi ya wa kupewa hela kidogo, no wengine ni zali tu. Alikuwa anapokea buku 2 jana, leo kakutana na kibosile anapokea minimum laki kadhaa, au alikuwa anapewa laki ya kusuka jana, leo limebumburuka yuko na jamaa ambaye akimpa buku tano anashukuru Mungu.

Sio siri mitaani huku kuna wanawake wakali ile mbaya lakin wanahongwa chipsi kuku wanatoa kila kitu na ukienda nao kitandani unaweza cheza hata na goli 6 na bado usikinai. At the same time wapo wa malaki na bado ujanja hana on ze bed, gogo, gogoooo....

Kwa hiyo ndugu yangu mtoa mada wala usiumie kichwa watu wanapokwambia wanahongwa malaki ukadhani kuna watu wanafaidi kuliko wewe...
By the way, hao wanaohongwa laki mara nyingi wanabweteka, na mapenzi hawajui kabisaaaaaa...
Duh! hizo red mkuu zinahitaji ufafanuzi wa kina vinginevyo
unaweza kueleweka tofauti!
 
toa 2 kaka ndo kuboresha penzi ujue...shauri yako utakimbiwa!!
 
Back
Top Bottom