Hapa kidogo nimeridhika lakini tatizo hata umpe ngapi ye nikubeep tu,
tena hata ukimuwekea hakukumbuki mpaka salio lielekee ukingoni na
ukiongea nae haonyeshi kupenda sana kuendelea na mazungumzo!
Mkuu usimchunguze sana bata alacho hutakula nyama yake
We fanya kile ambacho kiko ndani ya uwezo wako na then acha mambo mengine yakae kama yalivyo
Kuna mambo hayachunguziki sana
Na katika hii dunia mwanamke ni kiumbe ambaye haeleweki na hata maandiko yanasema katika vitu ambayo havieleweki na vya ajabu sana ni mwendo wa mwanaume akiwa na msichana yaani yale yanayofanywa kati ya mwanaume na mwanamke