Haiwezekani mbini au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu?
Inasemekana shetani ni mbaya kama alivyotukalilisha Mungu lakini inakuwaje
Mungu ashindwe kimuangamiza kama kweli Mungu hashindwi chochote?
Kwanza tumia capital letters kutaja jina la Mungu.
Mwanzo wa Mungu pia ndio mwanzo wa shetani, ambaye mwanzo alikuwa malaika, ndie alikuwa malaika mkuu 2nd in command baada ya Mungu.
Mungu ana nguvu na shetani ana nguvu, ila nguvu za Mungu ni kubwa zaidi ya nguvu za shetani kwa mambo mawili tuu, creation of life, and taking back the life, lakini vitu vingine vyote, everything God can do, the devil can do!.
Shetani alipoasi alifukuzwa tuu mbinguni lakini alibaki na nguvu zake zote. God ananguvu kuliko shetani lakini hawezi kumuangamiza shetani!.
Shetani ni mzuri sana kwa kuji disguise hivyo alipoingia bustani ya Aden kum tempt Eva, alijigeuza nyoka akapenya bustanini, kule akajigeuza mtu, ndipo akamshawishi Eva kula lile tunda, kwa kumuonyesha kwa practical kabisa jinsi tunda linavyochumwa, linavyo megwa, akammegea Eva, Eva na shetani wakala tunda.
Baada ya Eva kuuonja utamu wa tunda, akampelekea Adamu tunda, akamfundisha tunda linavyomegwa. Adam akamkatatalia kula tunda lililokatazwa na Mungu. Eva akamlazinisha, Adamu akakubali kumega tunda, na kutokana na utamu wa tunda, Adam na Eva wakaishia zao uzingizini!.
Shetani akasepa zake.
Walipoamka, wakaanza kuona noma!, ndipo Mungu akamuadhibu Eva, atazaa kwa uchungu kufidia utamu wa tunda, na hiyo dhambi ya kumega tunda, ndiyo dhambi ya asili, ili binadamu azaliwe, lazima kwanza dhambi ya asili itendwe ndipo mi.ba itunge!. Kuna binadamu mmoja tuu aliyekingiwa dhambi ya asili, ni Bikira Maria, alipata mi.ba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
Hata sasa
Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
P