Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Kwa hiyo bila wanasayansi Kuproof we huamin !swali kwako je soda ya coca cola ilijitengeneza au ilitengenezwa ?jibu
 
Wendoumetupoteza KABISA,Musa alikua Muislamu wakati enzi zake huislam wala haujatazamiwa kuwepo ! Maana yake ujui ata Uislamu umeanza lini au ndokukalili kwa sababu ya neno Musa basi tayar ni Muislam ,ni vizr tusome na kuelewa badala ya kukalili au kukalilishwa.
 
Teh teh teh.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wabillah Tawfiq
 
Tatizo letu sisi waafrika ni wazembe wa kusoma jamani tusomeni vitabu vya history mbona tunahangaishana tu wwunakuta MTU katoa jicho kumuita mwenzie kafri na mwingine nae hakubali anamjibu we mwabudu majini achana na mm .....nk.Lakini tukija kuangalia history iko wazi kabisa nimesoma vitabu vingi sana vya history vinaelezea ukweli wa mambo hadharani ukristu ulianza lin na uislam ulianza lini.Sisi waafrica tunazalauliana kwa din hizi bila sababu yeyote maana km mabab zetu walizikwa na walioana bila hata dini na wakafanikiwa je kwa nn Leo mtu anakuja kutuhadaa kua eti ww bila kua muislam huoi mwanangu na mkristo hivo hivo.Kama tumefika mahala tunaitana majina ya ajabu basis hata sisi ni mzao wa makafiri na majini maana mababu zetu waliamin Miungu km ndo Mungu.Wachina wanadini zao tangu zamani na hata Wahindi je wamekufa kwa kuamini din hizo si ndo wamefanikiwa kuliko sisi wafia din zinazotubagua.Mm naona hayo mambo mengine tunachosha hakili tu We amin Mungu yupo na tenda mema full stop hayo mengine ni mbwembwe tu
 
Unajaribu kudanganya ili kufurahisha nafsi yako.Musa/moshe /moses/mose ni mwebrania/Lugha kwa kabila uko wa Lawi.Hakuwa muislamu kwa kuwa kwanza hiyo dini haikuwai kuwepo wakat wa maisha yake.wala hakuna ushahidi popote juu ya hilo.uislam umekuja miaka karb 2000 tangu Musa aishi.
Taifa la Israel lilikuwa na makabila/koo kumi na mbili wanaozungumza lugha moja kiebrania.wakiwa jamii(race)moja ya kiebrania.
Waebrania sio waarabu kama ilivyo kwa waajemi na wakurd.sio kila jamii iliyopo mashariki ya kati ni waarabu.
Uyahudi ni nn?
 
Huyo Nabii Adam alifunga ramadhan?je alienda maka kuhiji?hebu nielezee alisali kibla kwa kuangalia wapi, je sala tano aliswali .....Swali jingine km Uislam ulikuwepo iweje manabii wengi watoke kwa watu ambao hawaujui uislam yaan waisraeli .
Muislaam wa kwanza Duniani ni Nabii Adam, kwa mujibu wa Qur'an. Na Uislaam umekamilika (kwa maana ya taratibu za sala na mambo mengine) wakati wa Muhammad SAW (katamatul Nabii) mwisho wa Manabii.
Usiumize kichwa sana, hii ni 'doctrine' ya Uislaam (Itikadi).
Yaani unataka ni hivyo, hutaki ni hivyo.
 
Huhuuuuuuu am sorry kama MUSA naweza sema ni myahudi alizaliwa uhamishoni misri japo alilelewa katika mazingira ya kifalme pale. Alitumika kuja kuwakomboa wayahudi wakiwa misri.
Mnachanganya sana UYAHUDI v/s UISRAEL, Musa aliwakomboa wana wa Israel(Yakobo) kutoka Misri, alkuwa akiwafunza UYAHUDI lkn wengi waliukataa hata kufikia kuabudu sanamu ya Ng'ombe wakiwa njian tofaut na Imani ya kiyahudi waliokuwa wakifunzwa juu ya neema za Mungu mmoja aliewakomboa, Mungu aliabudiwa na MUSA na HARUN nduguye!!!

Si wana wa ISRAEL wote walkuwa Wayahudi, walikuwepo wapagan(wengi) na wachache waliukubali uyahudi!!


Waliokuwa utumwani Misri n Wana wa Yakobo(Banu Israil) ....Uyahudi ni Imani!!
 
Kwa hiyo bila wanasayansi Kuproof we huamin !swali kwako je soda ya coca cola ilijitengeneza au ilitengenezwa ?jibu


Mkuu

Mpaka mwanadamu au physical being yenye ushahidi i-prove.

Otherwise ni just mazingaombwe ambayo hayana ukweli wowote.

Cocacola imjengwa na mwanadamu.Sentient being,na akatoa ushahidi wake na secret formula ipo stored,wanaijua wachache.Hakuna kitu kijengwe kwa deliberate efforts za mwanadamu halafu eti isiwe kweli.Na bidhaa nyingi duniani zina secret formulas sio coca tu mtu wangu!

Unataka kutuambia Mungu ndio alijenga formula ya Cocacola?Au ni shetani au some alien from Mars alikuja?
 
Umeacha Kitabu cha Uislaam (Qur'an) kinachoelezea Uislaam, ukaamua kwenda kusoma vitabu vya historia ili uujue Uislaam !
Halafu una andiiiikaa !
 
Muislaam wa kwanza ni Nabii Adam, na Musa ameusiwa dini ile ile (ya Uislaam) kama walivyo usiwa Manabii wengine kabla na baada yake.
Haya ni mafundisho ya Uislaam na yamo katika Qur'an. Hata ukibishana nayo, bado yanabaki hivyo hivyo.
 
Kifupi hapo unasema Nabii Ibrahim alizini ! Au umemuweka Nabii Musa kundi moja na akina Mwingira na Kakobe !?
Ni kafiri tu ndo anaweza kuropoka ropoka tu kama hivyo !
 
Aya ni mawazo yako

Nimekuuliza ki2 kimoja2
Wazungu ni waarabu???
 
Labda nikuskilize pia naweza jifunza kitu..... Unaweza prove kwamba waisrael sio familia moja na waarabu..... Hivi unafahamu Abraham alikuwa muarab pure kabisa !!!

Na kama hawana uhusiano kati ya waarab na waisraeli je reference yako ni ipi
Acha kukisia mambo brother
Unaposema abraham ni muarabu unasema kwa maantiki ipi???
Abraham alizaa watoto wawili
-Ishmail (walipotokea waarabu)
-Isac(walipotokea waisrael)
Sa unapolazimisha vi2 cjui unatoa wapi vigezo vya kuongea
 
Yalishaisha siyo lazima uropoke hapa ungekuwa una akili na busara wala usingekuwa umejibu kama hivyo. Wenye akili siku zote Huwa wana ignore mambo.
Ukikosea kizombi[emoji83] lazima unyooshwe mana umepinda ballaa[emoji196]
 
Acha kukisia mambo brother
Unaposema abraham ni muarabu unasema kwa maantiki ipi???
Abraham alizaa watoto wawili
-Ishmail (walipotokea waarabu)
-Isac(walipotokea waisrael)
Sa unapolazimisha vi2 cjui unatoa wapi vigezo vya kuongea
Nani aliyekwambia ismael ndio mwanzo wa waarabu??? Waarab walikuwepo toka wakati wa NUHU waliishi huko mesopotamia walikuwepo kina Lud (minor asia yaani lebanon n.k)mpaka kina Ashuru (syria ya sasa) yupo Elam(Kuwait,saudia,UAE) wote walikuwa waarabu sasa ishmael kaanzisha uarabu toka lini?? Whats your reference.

Refence yangu mimi ni mwanzo 10... Soma sura nzima utagundua Abraham hadi mussa ni familia moja na waarabu ila Wazungu ni watoto wa japhet usikariri

Sasa abraham hadi musa wametokea uzao wa Arphaxad ambaye kaka zake karibu 4 ndio wamezaa nchi zaidi ya 24 za uarabuni za sasa je huo uzungu unatoka wapi??? Waisraeli ni semites na waarabu ni semites usipotoshwe

Further reading: Shem - Wikipedia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…