Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Jamaa anapiga hela kwa jina la Yesuu !
Wajinga wanatoa hela kwa ajili ya ujinga !
8ac9ae1d414b9b748374629b66bb786d.jpg
 
Musa alikuwa Muisraeli tena wa uzao wa Lawi ambao ndiyo waliokuwa makuhani katika hekalu la maturubai . Uislamu umeanza miaka mia sita baada ya Ukristo kuanzia pale Antiokia. Wakati wa Musa, Uislamu haukuwepo, ila waarabu (wamidiani) walikuwepo na walikuwa wakiabudu miungu.

elewa maana ya uislam ndio utajua ilikuwapo tangu zamani kwa mitume wote itafute maana yake halafu jua kuwa waarabu hawakuleta uislam ulikuwepo muhamad amlitumwa kuleta sheria na sala na kuwakataza wale bado wanaendelea kuabudu masanamu kwa ulimwengu wote maana ya uislam ni kumuabudu mungu mmoja na sio sanamu ya aina yoyote. musa alipowaacha waisrael na ndugu yake awaangali .yeye akaenda kuongea na mungu huku nyuma wana waisrael na ndugu yake musa wakamtengeneza mungu wa sanamu ya ng'ombe wakaanza kumuabudu musa aliporudi na kuwakuta wanaabudu sanamu alimfanyaje ndugu yake.alimshika kidefu na kumburaza na kumgombeza sana alionyesha chuki sana na kuwaambia mnaabudu sanamu badala ya kumuabudu mungu mmoja ( dalili ya kuwa musa alikuwa muislam ni hapa) ndugu yake akajibu walinilazimisha na ningekataa wangeniuwa ilibidi niwaache waabudu
 
Nikuulize wewe ! Hawa wanamuomba Yesu ili wapate pesa kwa kukaa uchi !
Kwahiyo mkristo ni kila mtu anayeomba kikristo??? Kwahyo diamond anavyopiga sala kabla hajapanda stejini kucheza na mabinti nusu uchi naye tumtumie kukashifu uislam???

Mada mtaichafua kuingiza udini.... Tupo hapa kuelemishana sio kuchafuana
 
acha kupotosha.waarabu walikuwepo hata kabla ya ismaeli kuzaliwa.mama yake hagar alikuwa wa kutoka misri,baada ya kufukuzwa ndipo akarudi kwao na ismael akakulia kwa wajomba zake.na si kweli kuwa kizazi cha ismael kililaaniwa.kumbuka mungu alimwambia mama yake ismael kuwa atambariki mtoto wake na kufanya kizazi chake kuwa taifa kubwa.kitu kingine hapa cha kuangalia ni kuwa baba yake ismail alikuwa muisrael,sasa itakuweje ismael awe muarabu tena?
Umeongea facts ila nikusahihishe tu kidogo mkuu.... hagar alikuwa mweusi maana egypt kipindi hicho ilikuwa bado inakaliwa na watu weusi.
 
Musa alikuwa Muisraeli tena wa uzao wa Lawi ambao ndiyo waliokuwa makuhani katika hekalu la maturubai . Uislamu umeanza miaka mia sita baada ya Ukristo kuanzia pale Antiokia. Wakati wa Musa, Uislamu haukuwepo, ila waarabu (wamidiani) walikuwepo na walikuwa wakiabudu miungu.
Unaelewa maana ya neno ISLAM
 
Back
Top Bottom