Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Na pia Mungu na Allah (sw) ni tofauti.

Tofauti ni kwamba Allah (sw) Hakuzaliwa wala Hakuzaa na wala Hana mtoto.

Lakin Mungu kuna watu wanasema ana mtoto. Wanasema eti Yesu ni Mwana wa Mungu.

Hiyo ndio Tofauti.
 

Attachments

Ww kama unabishana, bishana tu. Ila mm siko hapa kwa ajili ya ubishi, niko hapa kukwambia ukweli.

Eeeeh Mungu sio Allah (sw) maana Mungu ana Mtoto alafu Allah (sw) Hana mtoto. We huoni hiyo tofauti hapo ama ubishi ndio unapenda?
 

Attachments

 

Attachments

Kifupi hapo unasema Nabii Ibrahim alizini ! Au umemuweka Nabii Musa kundi moja na akina Mwingira na Kakobe !?
Ni kafiri tu ndo anaweza kuropoka ropoka tu kama hivyo !
Unajua maana ya kafili au n ww umekalilishwa km wengine wanaoita wakristu makafili .
 
Yesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Akili ndogo tu. Uana wa Yesu kwa Mungu ni upi??. Ni kutokana na kuzaliwa kwake au???
Mbona baba yetu Adamu aliyefinyangwa na Mungu mwenyewe hamumuita Mwana wa Mungu. Na ni ukombozi gani unaozugiwa nao?
Siku nyingine mkae chini mtafakari. Mungu hana mwana. Mungu anaumba tu na kwake uumbaji ni kazi rahisi sana. Huwa anaamuru tu kuwa na inakuwa. Ndivyo alivyofanya kwa Mariam alimtuma Malaika wake akamwambie Mariam utabeba ujauzito kwa idhini ya Mola wako. Na utamzaa mtoto ili awe muujiza kwa watu wako. Hii ndio kauli mnayotakiwa kuifikiria. Kila siku mwalishwa matango pori mwala tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…