Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?


elewa maana ya uislam ndio utajua ilikuwapo tangu zamani kwa mitume wote itafute maana yake halafu jua kuwa waarabu hawakuleta uislam ulikuwepo muhamad amlitumwa kuleta sheria na sala na kuwakataza wale bado wanaendelea kuabudu masanamu kwa ulimwengu wote maana ya uislam ni kumuabudu mungu mmoja na sio sanamu ya aina yoyote. musa alipowaacha waisrael na ndugu yake awaangali .yeye akaenda kuongea na mungu huku nyuma wana waisrael na ndugu yake musa wakamtengeneza mungu wa sanamu ya ng'ombe wakaanza kumuabudu musa aliporudi na kuwakuta wanaabudu sanamu alimfanyaje ndugu yake.alimshika kidefu na kumburaza na kumgombeza sana alionyesha chuki sana na kuwaambia mnaabudu sanamu badala ya kumuabudu mungu mmoja ( dalili ya kuwa musa alikuwa muislam ni hapa) ndugu yake akajibu walinilazimisha na ningekataa wangeniuwa ilibidi niwaache waabudu
 
Nikuulize wewe ! Hawa wanamuomba Yesu ili wapate pesa kwa kukaa uchi !
Kwahiyo mkristo ni kila mtu anayeomba kikristo??? Kwahyo diamond anavyopiga sala kabla hajapanda stejini kucheza na mabinti nusu uchi naye tumtumie kukashifu uislam???

Mada mtaichafua kuingiza udini.... Tupo hapa kuelemishana sio kuchafuana
 
Umeongea facts ila nikusahihishe tu kidogo mkuu.... hagar alikuwa mweusi maana egypt kipindi hicho ilikuwa bado inakaliwa na watu weusi.
 
Unaelewa maana ya neno ISLAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…