.....unaogopa kusema ukiristo ni dini ya kweli, huo pekee ni uthibitisho kuwa Uislaam ni dini ya kweli.
Tengeneza na wewe kijarida chako.
Walikuwepo wakanushaji kama wewe tokea enzi za Mitume, akina Musa, Daudi, Yesu, Ibrahim, Yusuf na wengineo, wote walikuwepo watu waliokuwa wakikanusha kama wewe.
Hivyo siwajibiki ku prove chochote kwako. Kimsingi ni wajibu wako kutafuta ukweli, na ndo maana ukapewa akili. Ila kama utaamua akili yako kuitumia tu kuendea chooni na kula, basi hiyo itabaki ni shida yako.