Hivi "MV Mwanza Hapa Kazi Tu" ndio rasmi imekuwa "white elephant"?

rufino

Senior Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
113
Reaction score
147
Hii insaikitisha. Tulikuwa na matumaini makubwa na hii meli.
Sasa ime dock Mwanza; haina mahali pa kwenda.

Mara ya mwisho nilisikia wansubiri Jinja au Port Bell ziwe tayari lakini sina imani kama hizi ports ni suluhisho.
Hii meli imejengwa kwa ajiri ya abiria kwanza. Mzigo ni ziada. Lakini uwezo wa mzigo ni mdogo kulingana na ukubwa wa meli.
Na ziko meli za mizigo tayari kwenye hizi routes ambazo zimejengwa mhasusi kwa ajili ya mzigo mzito.
Sioni abiria wengi kati ya Jinja na Mwanza watakaoweza kujaza hii meli.

Kama kuna mtu ana ujuzi zaidi kuhusu hili naomba kujuzwa maana ningependa kuona hii meli inafanikiwa.
 
CCM hawajajipanga kabisa kuongoza Nchi kwa Maendeleo ya Watu...Labda kwa Kesi za Ugaidi na Uhaini kwa Wana CHADEMA..
 
Hii insaikitisha. Tulikuwa na matumaini makubwa na hii meli.
Sasa ime dock Mwanza; haina mahali pa kwenda.

Mara ya mwisho nilisikia wansubiri Jinja au Port Bell ziwe tayari lakini sina imani kama hizi ports ni suluhisho.
Hii meli imejengwa kwa ajiri ya abiria kwanza. Mzigo ni ziada. Lakini uwezo wa mzigo ni mdogo kulingana na ukubwa wa meli.
Na ziko meli za mizigo tayari kwenye hizi routes ambazo zimejengwa mhasusi kwa ajili ya mzigo mzito.
Sioni abiria wengi kati ya Jinja na Mwanza watakaoweza kujaza hii meli.

Kama kuna mtu ana ujuzi zaidi kuhusu hili naomba kujuzwa maana ningependa kuona hii meli inafanikiwa.
Kwani Eric Hamis anasemaje? Yeye si aliyepewa hii kazi?

Je gharama za usafirishaji kwenye hiyo meli ni affordable kuliko zingine
 
Back
Top Bottom