Hivi, mwanamke akiwa anakusumbua hivi na haumjibu chochote kila siku utafanyaje?

Hivi, mwanamke akiwa anakusumbua hivi na haumjibu chochote kila siku utafanyaje?

Mkuu ni mwiko Kwa mwanaume kumlima MTU block au kumuweka blacklist hizi ni tabia za kike

Acha mwamba aendelee kufurahia attention anayopata kutoka Kwa kausha damu ila najua kuna siku mwamba ataingia matopeni akiwa na upwiru tena sio mbali very soon 😂
😀

Kublock mtu sio umama ndiomaana waliotengeneza hivi vifaa waliweka hiyo option (labda uthibitishe hapa kuwa iliwekwa kwaajili ya mwanamke), kilichokufanya uone maajabu kublock mwanamke huenda ni msukumo wa nyege na uhaba wa wanawake kwenye mzunguko wa maisha yako kiujumla.

Kama anahitaji attention yake, hakukuwa na ulazima wa kulalamika unless ilikuwa ni showoff.
 
Inayo ila siwezi mblock maana namkubali mbaya ila tatizo lake ni ilo tu nililolisema hapo
Kumbe jibu unalo sijui unataka ushauriwe nini tena wewe endelea kukaushwa hiyo damu ukifilisika akili zitarudi
 
Kumbe jibu unalo sijui unataka ushauriwe nini tena wewe endelea kukaushwa hiyo damu ukifilisika akili zitarudi
😀😀 Ndo maana sijibu maana nikijibu tu napigwa mizinga Kila dakika demu ni tapeli tapeli sana mara Sina vocha,mara Kodi,mara sijala mambo kibao yaani hakuna kupumzika
 
Kuna watu ni fahari watu kujua anatoka na nani
Sipo uko mkuu 😀😀Sina ushamba huo huo ushamba WA celebrity WA bongo ,uyo demu yupo mbali na mi nipo mbali nimewauliza maana simuelewi ananipiga vizinga balaa kama mtu ambaye anihitaji ila nisipompa attention ndo ivyo ndo maana simuelewi elewi akili yake
 
Si umchane tu?
 
wewe endelea tu kumkazia bt ipo cku utanasa tu kwenye mtego wake na huo ndo utakuwa mwisho wako
 
Mwambie aendelee na Maisha yake bila wewe Kisha piga block
 
Back
Top Bottom