Hivi, mwanamke akiwa anakusumbua hivi na haumjibu chochote kila siku utafanyaje?

๐Ÿ˜€

Kublock mtu sio umama ndiomaana waliotengeneza hivi vifaa waliweka hiyo option (labda uthibitishe hapa kuwa iliwekwa kwaajili ya mwanamke), kilichokufanya uone maajabu kublock mwanamke huenda ni msukumo wa nyege na uhaba wa wanawake kwenye mzunguko wa maisha yako kiujumla.

Kama anahitaji attention yake, hakukuwa na ulazima wa kulalamika unless ilikuwa ni showoff.
 
Inayo ila siwezi mblock maana namkubali mbaya ila tatizo lake ni ilo tu nililolisema hapo
Kumbe jibu unalo sijui unataka ushauriwe nini tena wewe endelea kukaushwa hiyo damu ukifilisika akili zitarudi
 
Kumbe jibu unalo sijui unataka ushauriwe nini tena wewe endelea kukaushwa hiyo damu ukifilisika akili zitarudi
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Ndo maana sijibu maana nikijibu tu napigwa mizinga Kila dakika demu ni tapeli tapeli sana mara Sina vocha,mara Kodi,mara sijala mambo kibao yaani hakuna kupumzika
 
Kuna watu ni fahari watu kujua anatoka na nani
Sipo uko mkuu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Sina ushamba huo huo ushamba WA celebrity WA bongo ,uyo demu yupo mbali na mi nipo mbali nimewauliza maana simuelewi ananipiga vizinga balaa kama mtu ambaye anihitaji ila nisipompa attention ndo ivyo ndo maana simuelewi elewi akili yake
 
Si umchane tu?
 
wewe endelea tu kumkazia bt ipo cku utanasa tu kwenye mtego wake na huo ndo utakuwa mwisho wako
 
Mwambie aendelee na Maisha yake bila wewe Kisha piga block
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ