Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Aisee kazi kweli kweliNgoja waje watueleze kwanini wanafanya hivo
Maokoto yanakuja kwa kufanya kazi halali na Mungu hutubarikiMaokoto mkuu
Just overestimation.....wachache wanazidi hapo.Hapo kwenye wanaume 50 umeongeza sana chinvi, unless ni anajiuza hao ni wanaume amelala nao
Shida ni nini lakiniUzuri wa mwanamke ukichangiwa na tako kubwa imekuwa ni fursa kubwa
Hutaki Ndoa?Mchawi helaa Kwa mwanaumee ,ukiwanazo hata uwez waonea HURUMA na kuwatafakari zaidi yakuwala tu mkuuu..View attachment 2935727
Nakubali mkuu, lakini sio kila mwenye maokoto anafanya kazi halali.Maokoto yanakuja kwa kufanya kazi halali na Mungu hutubariki
Uzuri - Golddigger - ProstitutionWakuu hii imekaaje, yaani Mwanamke akishakuwa mzuri tu basi unakuta ni Mdangaji...
Mzuri tu....mbona wako wengiSamahani mtoa mada, mwanamke mzuri ni 'mwanamke mgani'..?
Sawa sawaNakubali mkuu, lakini sio kila mwenye maokoto anafanya kazi halali.
At their late ages tumeona wengi wanapitia vipindi vigumu sana. Maana uzuri haudumu. It is just 10 or 15yrs period onlyUzuri - Golddigger - Prostitution
Hizo ni steps 3 ambazo wanawake wazuri especially hawa born town girls (the majority) hupitia kwenye maisha yao.
Sio kwamba hawajui nini wanafanya NO bali desire is what leads them onto it na hawafikirii kua kesho yao itakuaje.
Ndo hawa wa leo hii wa insta wanaji-proud kua na wanaume wengi, having long nails, mapombe na vitu vingine vinavyo-associate na tabia mbaya.
Kuhusu vipindi vigumu ni kweli ndomana mwaka jana na mwaka huu taarifa nyingi za girls wanaofanya porn kufariki au kujiua zimekua ni nyingi mno hua wanakuja kupata depression za hatari.At their late ages tumeona wengi wanapitia vipindi vigumu sana. Maana uzuri haudumu. It is just 10 or 15yrs period only