Ni mara kadhaa utasikia wanawake wakisema Mwanamke gharama. Hata awe ana Mtu wake anayempinda na yeye ana uwezo lazima atake kugharamiwa au kupewa matumizi. Wengine hushawishi hata kulipiwa ada za shule au Chuo. Kinashangaza ni kuwa hata agharamiwe kiasi gani wengi si waaminifu, huanza kutafuta Mwanaume mwingine pembeni wa kumpa matumizi. Kwanini wanawake mnakuwa hivyo? Wanaume mnaonaje changamoto hii ya wanawake?