Tena mnashauriwa mfanye hata masaa mawili kabla hajaingia leba, sperms zinasaidia sana kuwahisha njia kufunga na mtoto kutoka haraka.... kuhusu swali lako maandalizi ni muhimu sana,
Wale wanaoona haifai kufanya tendo la ndoa (nasema tendo la ndoa kwa wanandoa sio uzini na mwanamke mjamzito ambae mimba si yako) wanawake wanatofautiana, wapo wanakua na hamu hadi mwisho na wapo wasiokua na hamu kabisaaa,(usimlazimishe kama hataki), na wapo ambao wana matatizo ya ujauzito kwa hiyo haishauriwi mikiki yoyote ikiwemo sex.