Hivi mwanamke mjamzito anahitaji kuandaliwa (romance)?!! Anajisikia?!!!

Achukue huu ushauri kutoka kwa wahusika
 
Tena mnashauriwa mfanye hata masaa mawili kabla hajaingia leba, sperms zinasaidia sana kuwahisha njia kufunga na mtoto kutoka haraka.... kuhusu swali lako maandalizi ni muhimu sana,

Wale wanaoona haifai kufanya tendo la ndoa (nasema tendo la ndoa kwa wanandoa sio uzini na mwanamke mjamzito ambae mimba si yako) wanawake wanatofautiana, wapo wanakua na hamu hadi mwisho na wapo wasiokua na hamu kabisaaa,(usimlazimishe kama hataki), na wapo ambao wana matatizo ya ujauzito kwa hiyo haishauriwi mikiki yoyote ikiwemo sex.
 
Aisee mimba zangu sipendi kuona mwanaume mbele yangu.nikiona hata picha watu wamekumbatiana tu natapika vibaya mno.hongereni mnaogegedwa
Me yaani nikishikwa tu naweza kufa yaani
 
Watu mko na ukatili mwingi wamama wajawazito na tumbo lile wanatisha balaa juzi Mimi nimekimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi Mimi nimekimbia show

we ni mshamba wa mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…