Hivi mwanamuziki Senzo yu hai au alishafariki?

Senzo died long ago..
 
watanzania kwa kuamini hadithi za vijiweni hatujambo. kuna watu walieneza uongo kuwa Nyerere alikataa kumsalimia kwa kumpa mkono Bob Marley siku ya Uhuru wa zimbabwe, wakadai alimshikisha fimbo kumbe urongo

leo wanadai senzo amekufa lakini hawasemi amekufaje na amekufa lini. senzo yu hai na uthibitisho umewekwa humu bado wanaamini porojo na stori za vijiweni kuwa amekufa
 
Mkuu ni zaidi ya miaka mitano, Senzo aliuawa kabla ya Lucky Dube aliyeuawa zaidi ya miaka kumi iliyopita, kama sijakosea Senzo aliuawa miaka ya 1990s mwishoni
Dube alikufa 2007 na senzo aliuwawa kabla ya hapo
 
Mmhhhh!!!
Niliona mahojiano yake mwaka juzi nadhani, yuko hai alipatwa na maradhi ya kishirikina....
 
Hapana bro,aliyekuwa na mahusiano na Kelly Kumalo ni Senzo Meyiwa ambaye alikuwa goalkeeper wa Orlando Pirates.

Kisa ulichokiongelea ni cha Senzo huyo na si Senzo reggae artist.
Rumors zipo kuwa yuko hai, ila binafsi nafahamu alifariki kabla hata ya lucky dube
 
Inasemekana Senzo aliuwawa kwa mkakati uliopangwa na Dube....baada ya wawili hao kujitenga kimziki....Senzo akaanza kuimba kivyake akaanza kumfunika Dube.....baadaye Tim Senzo ikalipa kisasi kwa kumuua Dube..... inasemekana lkn....
 
Hawajawahi kuwa Pamoja Kimuziki. Na Senzo asingeweza Kumfikia Dube Kirahisi.
 
Ila Heri wewe unasema Inasemekana. Kuna Watu wanashadidia sana kumbe Story za Radio Mbao
Inasemekana Senzo aliuwawa kwa mkakati uliopangwa na Dube....baada ya wawili hao kujitenga kimziki....Senzo akaanza kuimba kivyake akaanza kumfunika Dube.....baadaye Tim Senzo ikalipa kisasi kwa kumuua Dube..... inasemekana lkn....
 
Senzo yuko hai acheni story za vijiweni, oooh aliuwawa na lucky dube, acheni chai za miaka hiyo hamna youtube wala google. Mi nimekuwa nikamini siku zote Sam Mangwana ni marehemu kutokana na chai nilizolishwa nikiwa mdogo, nimekuja kusearch youtube na google kumbe jamaa yupo hai, lakin ukienda kijijini kwetu ambako wimbo wa Maria Tebola ulipigwa sana enzi hizo wanaamini jamaa ni marehemu kitambo
 
Usipotoshe watu, Senzo yupo hai. Na kwa kukuthibitishia, tunafanya nae mawasiliano mara kwa mara. Wewe hii source umetoa wapi? Ni bora kama jambo hulijui ukae kimya
 
Usipotoshe watu, Senzo yupo hai. Na kwa kukuthibitishia, tunafanya nae mawasiliano mara kwa mara. Wewe hii source umetoa wapi? Ni bora kama jambo hulijui ukae kimya
Usiwe mjinga wa kufuata upepo kama bendera.
Sina haja ya kumjibu mtu mjinga
 
Wewe ndo mpuuzi basi.. Senzo kafa mda.

Kipindi anafariki wengi humu mlikuwa la pili au la tatu.
Huyo muhuni atawapiga hela tuuhh
 
Wewe ndo mpuuzi basi.. Senzo kafa mda.

Kipindi anafariki wengi humu mlikuwa la pili au la tatu.
Huyo muhuni atawapiga hela tuuhh
Mpuuzi zaidi ni yule anayeshindwa kutoa hoja yenye mashiko. Umesema Senzo kafa. Je una uthibitisho gani kuwa kafa muda? Je alikufa lini, wapi na sababu ya kifo ni nini?
Alizikwa wapi?
 
iko siku kuna watu watasema Nyerere hajafa yuko butiama analima matikiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…