sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Sisi wanaume kubanwa na uchumi ni swala la kawaida sana lakini bado haijawahi kutuondolea asili yetu kupenda wanawake.
Ila sasa unakuta mtu uchumi umembana lakini hajiongezi japo hata kidogo kwenye hygiene, huyu mtu yupo sawa kweli ?
Ila sasa unakuta mtu uchumi umembana lakini hajiongezi japo hata kidogo kwenye hygiene, huyu mtu yupo sawa kweli ?
- Mtu kavaa jezi siku 2 mfululizo
- Kuoga kwake ni shida na maji yapo kibao tu
- Vesti kaivaa miaka nenda rudi imefubaa na ni chafu
- Akivua viatu humo ndan hakukaliki.
- Nywele kuchana tu ni ishu