sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nasubiri jibu.inashangaza sana [emoji15][emoji15]Mkuu kwani we ni jinsia gani?
Samahani lakini kwa swali hili na natumaini halitakughafilisha! [emoji16]
Mi huwa nadhani kuwa we ni +me [emoji15]
We ni manzi au unawasemea mamanzi?Sisi wanaume kubanwa na uchumi ni swala la kawaida sana lakini bado haijawahi kutuondolea asili yetu kupenda wanawake.
Ila sasa unakuta mtu uchumi umembana lakini hajiongezi japo hata kidogo kwenye hygiene, huyu mtu yupo sawa kweli ?
Hivi huyu mtu kweli akianza kulalamka anakataliwa sana kuna haja ya kumshangaa?
- Mtu kavaa jezi siku 2 mfululizo
- Kuoga kwake ni shida na maji yapo kibao tu
- Vesti kaivaa miaka nenda rudi imefubaa na ni chafu
- Akivua viatu humo ndan hakukaliki.
- Nywele kuchana tu ni ishu
Dunia hii ya sasa haieleweki yaani. Kama jamaa ni mwanaume nitashangaa sana [emoji16][emoji16][emoji16]Nasubiri jibu.inashangaza sana [emoji15][emoji15]
Bad boys haimaanishi uwe mchafu. bad boy ni attitudeNgoja waje jaoi kuna wanawake huwa wanaowapenda "bad boys"
Akikujibu nitagiMkuu kwani we ni jinsia gani?
Samahani lakini kwa swali hili na natumaini halitakughafilisha! [emoji16]
Mi huwa nadhani kuwa we ni +me [emoji15]
Sasa unataka watu wavae vizuri na usafi kwa Ajili ya Mademu tuSisi wanaume kubanwa na uchumi ni swala la kawaida sana lakini bado haijawahi kutuondolea asili yetu kupenda wanawake.
Ila sasa unakuta mtu uchumi umembana lakini hajiongezi japo hata kidogo kwenye hygiene, huyu mtu yupo sawa kweli ?
Hivi huyu mtu kweli akianza kulalamka anakataliwa sana kuna haja ya kumshangaa?
- Mtu kavaa jezi siku 2 mfululizo
- Kuoga kwake ni shida na maji yapo kibao tu
- Vesti kaivaa miaka nenda rudi imefubaa na ni chafu
- Akivua viatu humo ndan hakukaliki.
- Nywele kuchana tu ni ishu
Huyu nadhani anafanya kila kitu kwa ajili ya kuwaridhisha mademu tuSasa unataka watu wavae vizuri na usafi kwa Ajili ya Mademu tu
Huyo dg bd yupo na tongotongo maana hapa dsm nguo zinauzwa hadi Buku huwezo wa Mtu kubadilisha nguo nimkubwa sana sema peoples are very busy for hustlingHuyu nadhani anafanya kila kitu kwa ajili ya kuwaridhisha mademu tu
Matozi wa hapa dsm kutwa kuvaa midosho tuMatozi mnajua kuoga kwasababu maji kwenu ni too easy ku afford ila kutafuta hela hamjui ndio maana mnaishia kuvaliana nguo kwa ajili ya show off za kiseng€
So ulininyima haki yangu ya kikatiba kukutongoza ?Kila kiumbe kina haki ya kutongoza
Kukubaliwa ama kukataliwa ni matokeo