Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukukataa wakati wewe bado unamtaka.Kinachowapa kiburi cha kudai kumwacha mwanaume ni nini?
Hata ukichukua demu mpya bado haiondoi maana kwamba umeachwa na yule wa mwanzo.Sasa ndio ujinga huo,inatakiwa akikukataa unavuta pisi kali kuliko yeye ili akiona aumie na ajue hakuwa peke yake