Hivi mwanaume anaacha au anaachwa? Mwanaume kweli unaanzaje kulia kwa kuachwa?

Issue ya kuoa/kuolewa ni point nyingine hata haina uhusiano na mada husika.
Kinachowapa kiburi cha kudai kumwacha mwanaume ni nini?
 
Kukukataa wakati wewe bado unamtaka.
Sasa ndio ujinga huo,inatakiwa akikukataa unavuta pisi kali kuliko yeye ili akiona aumie na ajue hakuwa peke yake
 
Sasa ndio ujinga huo,inatakiwa akikukataa unavuta pisi kali kuliko yeye ili akiona aumie na ajue hakuwa peke yake
Hata ukichukua demu mpya bado haiondoi maana kwamba umeachwa na yule wa mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…