Hivi mwanaume asiye na nguvu za kiume.......

Hivi mwanaume asiye na nguvu za kiume.......

Dada Preta Kukosa nguvu za Kiume kuko kupana sana,
1) kuna kushindwa kusimamisha kabisa
2) kuna kusimamisha kwa shida na ikisimama haikawii kudondoka
3) kuna inayosimama kwa shida na baada ya bao moja basi ni baada ya wiki ama zaidi
4) na kuna zingine huwa haziimili vishindo, ikisimama hapohapo inakojoa na hapo hapo inadondoka

kama hiyo kitu inasimama kwa mbinde na inatoa vitu basi kuanuwezekano mkubwa wa wewe kupata mimba, ukosefu wa nguvu havina uhusiano wowote na mambo ya uzazi,
 
Ninazotaka kujua ni hizo hapo nilipobold na blue
 
Sina jibu la kitaalamu ila nadhani mimba atapata kama tatizo la huyo mume si mbegu, mara nyingi wanaume ambao wanasimamisha mara moja wamekuwa wakitafsiriwa kuwa hawana nguvu za kiume kumridhisha mwanamke kimapenzi ila mimba atapata. Tatizo hili hutofautiana mtu hadi mtu. Wapo ambao husimama kwa muda mfupi akisharuhusiwa hupiga bao kisha hulala, huyu anaweza kumtia mama ujauzito, wapo ambao hata kusimama ni shida wala hawana hisia, hapo ndo kunashida. Mbali na hao wapo ambao wapo imara tu inasimama na shughuli inapiga kitandani ila kutia mimba ni ndoto,huyu tunasema ni TASA.

Hayo ni kwa mawazo yangu na elimu kidogo ya Biolojia ila Preta utusaidia mawazo unataka kujua mtu wa category yupi katika hizo ndiyo hatii mimba? Kama unajamaa yako ni goigoi katika mambo hayo mpeleke kwa wataalamu usimwache kwani hata ambaye yupo imara litampata je utawakimbia wangapi. Kumbuka maradhi haya yanawasumbua sana watu miaka hii kwasababu ya vyakula tunavyokula.

USHAURI WA BURE KWA WASIO NA NGUVU ZA KIUME.
1.TENGENEZA MAJANI YA MABOGA YAKATEKATE KUWA MADOGO KISHA WEKA KWENYE GLASS UKITANGULIZA ASALI KIASI NA KISHA WEKA ASALI TENA JUU FUNIKA GLASS KWA DAKIKA 30 KISHA KULA HAYO MAJANI YA MABOGA KAMA LISHE. UKIFANYA HIVYO KWA WIKI MBILI TATIZO LITAPUNGUA ENDAPO HUNA KITAMBI KIKUMBWA.

2. TENGENEZA JUICI YA PARACHICHI ORIJINO BILA MAJI UKICHANGANYA NA MAZIWA FRESH BILA MAJI, KUNYWA GLASS 1 ASUBUHI NA JIONI KWA MUDA WA WIKI 2 UTAONA MABADILIKO.

3. NENDA KWA WAFUGAJI WA NYUKI WAKIRINA WAKUPE VILE VIBOKSI VYENYE MAYAI YA NYUKI PAKA ASALI KULA KAMA LISHE.

NOTE: ZINGATIA MAZOEZI WAKATI UNAZINGATIA HIZO LISHE NA KAMWE USIFANYA PUNYETO KATIKA MAISHA YAKO NA KAMA ULIWAHI FANYA USIRUDIE, USIWE NA MAWAZO MABAYA KUHUSU MKEO WAKATI WA PENZI ITAATHIRI NGUVU ZA KIUME.KAMILISHA KWANZA KAZI HIYO. MWANDAE MKEO ASIKUULIZE MASWALI YOYOTE WAKATI WA TENDO. HILI NI MUHIMU SANA KWA WENYE UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
NAOMBA KUWASILISHA KWA MANUFAA YA WANA JAMVI.
 
Aaaawww kumbe suluari zinaficha mengi duh :bored::bored::bored:

Nakwambiaaa......halafu wanavyopita wakijitutumua sasa.....na maneno mengi mengi......tena uchwara
 
Dada Preta Kukosa nguvu za Kiume kuko kupana sana,
1) kuna kushindwa kusimamisha kabisa
2) kuna kusimamisha kwa shida na ikisimama haikawii kudondoka
3) kuna inayosimama kwa shida na baada ya bao moja basi ni baada ya wiki ama zaidi
4) na kuna zingine huwa haziimili vishindo, ikisimama hapohapo inakojoa na hapo hapo inadondoka

kama hiyo kitu inasimama kwa mbinde na inatoa vitu basi kuanuwezekano mkubwa wa wewe kupata mimba, ukosefu wa nguvu havina uhusiano wowote na mambo ya uzazi,

namba 3 na 4 inawezekana kupata
 
Huo sasa ni uchokozi wa waziwazi, ukizabwa vibao usilalamike! mie ninakupenda ndo maana nakuonya mapema.

ha ha ha.......nimeuliza tu jamani......nataka kujua........habari yako binafsi?
 
Back
Top Bottom