Hivi mwanaume gentleman ndio mwanaume wa namna gani?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Habari za leo wananchi wenzangu?

Kuna binti mmoja huwa nampa lifti kwenye subaru impreza yangu kwenda job coz kazini kwangu na kazini kwake ni njia moja, sasa leo nimepata dharura, nikamwambia sitoweza kumpitia instead nikamtumia tu kama elfu 30 nikamwambia ajaribu kurequest uber, ebwana yule binti kafurahi na kunitumia text kuwa mimi ni very gentleman and caring man.me nikawa najiuliza tu, hicho kimsaada kiduchu ndio cha mimi kupewa masifa yote hayo?

Eti wakuu, Mwanaume gentleman, ndio mwanaume wa namna gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…