Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Kuwa gentleman = chuma ulete...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 Hapo mwisho pamenifanya nikenueSifahamu sana mkuu.
Hata hivyo, mwanaume akifahamu nini cha kuongea na katika wakati gani kwa watu WOTE wanaomzunguka,
Pia akajali walau kidogo muonekano wake, afya yake, usafi na vitu kama hivyo,
Akawa ni mtu ambaye sio mvivu... angalau ni mtafutaji,
Akaweza pia kuwapa wanawake wote heshima ambayo anampa mama yake mzazi,
Lakini pia akawa treat wanawake kwa namna ambayo angependa dada zake wawe treated na shemeji zake,
Ndugu zangu, mtu kama huyo hayupo mbali na u 'gentleman'
Nasema uongo ndugu zangu?
Yatakukuta nawe..😂We kweli Kiberenge
Nimecheka ka fala aisee
🤣🤣🤣Design ya Tundu Lissu
Naam, Kalemera ni gentlemanNi aina ya akina GENTAMYCINE nadhani
Naaam[emoji23][emoji23] Hapo mwisho pamenifanya nikenue
Ukalimani wa Nini hapo?! Huyo anajisifu tu...Ngoja wakalimani waje!!
Upo sahihi kabsaaNi aina ya akina GENTAMYCINE nadhani
[emoji16][emoji16] tupo kwenye uchumi wa katiUmasikini unafanya mwanamke ukimsaidia pesa kidogo tu basi ndio real love!
Unasema uongo ndugu yangu.Sifahamu sana mkuu.
Hata hivyo, mwanaume akifahamu nini cha kuongea na katika wakati gani kwa watu WOTE wanaomzunguka,
Pia akajali walau kidogo muonekano wake, afya yake, usafi na vitu kama hivyo,
Akawa ni mtu ambaye sio mvivu... angalau ni mtafutaji,
Akaweza pia kuwapa wanawake wote heshima ambayo anampa mama yake mzazi,
Lakini pia akawa treat wanawake kwa namna ambayo angependa dada zake wawe treated na shemeji zake,
Ndugu zangu, mtu kama huyo hayupo mbali na u 'gentleman'
Nasema uongo ndugu zangu?
You can Give without Love But There is No Love without Giving.Umasikini unafanya mwanamke ukimsaidia pesa kidogo tu basi ndio real love!