Sifahamu sana mkuu.
Hata hivyo, mwanaume akifahamu nini cha kuongea na katika wakati gani kwa watu WOTE wanaomzunguka,
Pia akajali walau kidogo muonekano wake, afya yake, usafi na vitu kama hivyo,
Akawa ni mtu ambaye sio mvivu... angalau ni mtafutaji,
Akaweza pia kuwapa wanawake wote heshima ambayo anampa mama yake mzazi,
Lakini pia akawa treat wanawake kwa namna ambayo angependa dada zake wawe treated na shemeji zake,
Ndugu zangu, mtu kama huyo hayupo mbali na u 'gentleman'
Nasema uongo ndugu zangu?