Hivi mwanaume gentleman ndio mwanaume wa namna gani?

Sifahamu sana mkuu.

Hata hivyo, mwanaume akifahamu nini cha kuongea na katika wakati gani kwa watu WOTE wanaomzunguka,

Pia akajali walau kidogo muonekano wake, afya yake, usafi na vitu kama hivyo,

Akawa ni mtu ambaye sio mvivu... angalau ni mtafutaji,

Akaweza pia kuwapa wanawake wote heshima ambayo anampa mama yake mzazi,

Lakini pia akawa treat wanawake kwa namna ambayo angependa dada zake wawe treated na shemeji zake,

Ndugu zangu, mtu kama huyo hayupo mbali na u 'gentleman'

Nasema uongo ndugu zangu?
Umepatia
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Eee bhanaa eee nyie fanyeni yenu bhna peaneni lifti na Subaru Forester zenyu
 
Habari za leo wananchi wenzangu?
Kuna binti mmoja huwa nampa lifti kwenye subaru yangu kwenda job coz kazini kwangu na kazini kwake ni njia moja, sasa leo nimepata dharura ,nikamwambia sitoweza kumpitia instead nikamtumia tu kama elfu 30 nikamwambia ajaribu kurequest uber,ebwana yule binti kafurahi na kunitumia text kuwa mimi ni very gentleman and caring man.me nikawa najiuliza tu ,hicho kimsaada kiduchu ndio cha mimi kupewa masifa yote hayo?
Eti wakuu,mwanaume gentleman, ndio mwanaume wa namna gani?
2457376_JamiiForums-621070314.jpg
 
Sifahamu sana mkuu.

Hata hivyo, mwanaume akifahamu nini cha kuongea na katika wakati gani kwa watu WOTE wanaomzunguka,

Pia akajali walau kidogo muonekano wake, afya yake, usafi na vitu kama hivyo,

Akawa ni mtu ambaye sio mvivu... angalau ni mtafutaji,

Akaweza pia kuwapa wanawake wote heshima ambayo anampa mama yake mzazi,

Lakini pia akawa treat wanawake kwa namna ambayo angependa dada zake wawe treated na shemeji zake,

Ndugu zangu, mtu kama huyo hayupo mbali na u 'gentleman'

Nasema uongo ndugu zangu?
Kweliiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Understandant - Muelewa
Polite - Mkarimu
Humble - Mnyenyekevu
Caring - Anaejali
Leader - Kiongozi
Defender - Mtetezi
Treasurer - Mwenye hela zake
Best in bed - nuhiug iug8yg uhvj

Nasema uongo ndugu zangu? Lazima niwaambie ukweli, na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
😀😃
 
Sifahamu sana mkuu.

Hata hivyo, mwanaume akifahamu nini cha kuongea na katika wakati gani kwa watu WOTE wanaomzunguka,

Pia akajali walau kidogo muonekano wake, afya yake, usafi na vitu kama hivyo,

Akawa ni mtu ambaye sio mvivu... angalau ni mtafutaji,

Akaweza pia kuwapa wanawake wote heshima ambayo anampa mama yake mzazi,

Lakini pia akawa treat wanawake kwa namna ambayo angependa dada zake wawe treated na shemeji zake,

Ndugu zangu, mtu kama huyo hayupo mbali na u 'gentleman'

Nasema uongo ndugu zangu?
Hahaha umenichekesha ulivyomalizia
 
Back
Top Bottom