Ni kweli kwa kiasi fulani... LAKINI JE! WEWE UMEJUAJE KUWA WANAKESHA HUKO? AU unakesha nao?Si ajabu kumkuta mwanaume anatumia siku nzima akitumia kulike na kucomment picha na video za kina wema sepetu na zari.
angalau afadhali hata mara moja moja angekuwa anapitia account ya mange lakini ndo kwanza anamfuatilia hamisa mobeto.
halafu ukimuuliza kwenu wapi utasikia "kwetu dar".
aise kuna wakati mwanaume hutakiwi kukesha insta,njoo huku great-thinker.
washauri na wengine.
Kama ndio marafiki zako basi ujue tabia zenu zinaendananawasikia wakipiga sana story za insta,pia kujua tabia ya wizi si lazima uwe mwizi
Huku huwezi kuona pch zisizo na maadili,, , utakula BAN,, kule upo free kutuma au kuona vingi visivyoonwa pengine,, Kule kumemuibuwa BASHITE,, nkSi ajabu kumkuta mwanaume anatumia siku nzima akitumia kulike na kucomment picha na video za kina wema sepetu na zari.
angalau afadhali hata mara moja moja angekuwa anapitia account ya mange lakini ndo kwanza anamfuatilia hamisa mobeto.
halafu ukimuuliza kwenu wapi utasikia "kwetu dar".
aise kuna wakati mwanaume hutakiwi kukesha insta,njoo huku great-thinker.
washauri na wengine.
hahaaaaWaache wale utawala nasikia huko IG wao ndo ma-great thinker...
AISEEE NASHUKURU MUNGU ..HIYO APP nilishai delete ..baada yakuona hkuna jipya na lamaana zaidi ya kufuatutilia maisha ya watu mwisho wasiku akili inameza mambo yakipuuzi