Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Si ajabu kumkuta mwanaume anatumia siku nzima akitumia kulike na kucomment picha na video za kina wema sepetu na zari.
angalau afadhali hata mara moja moja angekuwa anapitia account ya mange lakini ndo kwanza anamfuatilia hamisa mobeto.
halafu ukimuuliza kwenu wapi utasikia "kwetu dar".
aise kuna wakati mwanaume hutakiwi kukesha insta,njoo huku great-thinker.
washauri na wengine.