Hivi mwanaume unakeshaje na kushinda INSTAGRAM

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Si ajabu kumkuta mwanaume anatumia siku nzima akitumia kulike na kucomment picha na video za kina wema sepetu na zari.
angalau afadhali hata mara moja moja angekuwa anapitia account ya mange lakini ndo kwanza anamfuatilia hamisa mobeto.
halafu ukimuuliza kwenu wapi utasikia "kwetu dar".
aise kuna wakati mwanaume hutakiwi kukesha insta,njoo huku great-thinker.
washauri na wengine.
 
Ni kweli kwa kiasi fulani... LAKINI JE! WEWE UMEJUAJE KUWA WANAKESHA HUKO? AU unakesha nao?
 
Si ajabu kumkuta mwanaume anatumia siku nzima akitumia kulike na kucomment picha na video za kina wema sepetu na zari.
angalau afadhali hata mara moja moja angekuwa anapitia account ya mange lakini ndo kwanza anamfuatilia hamisa mobeto.
halafu ukimuuliza kwenu wapi utasikia "kwetu dar".
aise kuna wakati mwanaume hutakiwi kukesha insta,njoo huku great-thinker.
washauri na wengine.
Huku huwezi kuona pch zisizo na maadili,, , utakula BAN,, kule upo free kutuma au kuona vingi visivyoonwa pengine,, Kule kumemuibuwa BASHITE,, nk
 
Kwani kukesha insta ni dhambi,kinyume na maadili,unadhurumu haki ya mtu,anatumia simu yako bando lako mbona wabongo munapenda kuingilia lifestyle ya mtu
 
angalau mange? yule nae si ndo hao hao wa kufuatilia madeni ya kina tunda.....
 
AISEEE NASHUKURU MUNGU ..HIYO APP nilishai delete ..baada yakuona hkuna jipya na lamaana zaidi ya kufuatutilia maisha ya watu mwisho wasiku akili inameza mambo yakipuuzi
 
Kwanini mnapangiana maisha? Bundle huwa unamnunulia?Au labda ulimnunulia smart phone.Mimi nadhani kila mmoja apambane na hali yake tena usikute na kushinda kwako GT hata hela zenyewe huna na huyo anaeshinda IG ana make good money
 
AISEEE NASHUKURU MUNGU ..HIYO APP nilishai delete ..baada yakuona hkuna jipya na lamaana zaidi ya kufuatutilia maisha ya watu mwisho wasiku akili inameza mambo yakipuuzi

Wewe uliifuta ila wengine wanaitumia na inawaletea pesa nzuri kwa kutangaza biashara zao na kuunda wateja wapya daily

It depends on how smart you are
 
kama unaenda insta kuwafollow gigi money sanchoka na wenye tabia kama hizo utakua una la kufuata insta la sivyo unapoteza muda tu
 
Ni dhahiri sana GT Wengi wamekuwa hawataki kuelewa ama kutafuta kuelewa au wengi sasa wamekuwa hawataki kuwa makini ktk mada wanazosoma.
ama pia wengi wanacomment kwa kuangalia fulani kacomment nini
 
Hata me nawashangaa bora umewaambia mkuu
 
Back
Top Bottom