Hivi mwanaume unakosaje ndevu?

We mwanaume unataka kumkiss mwanaume tena???
 
Ujinga wa kiwango cha lami. Kama unapenda ndevu tafuta wanaume sampuli ya Osama na sio kuponda maumbile ya wengine. Unafikiri wanaume nao tuna akili za kijinga kufanya surgery kuongeza makalio na nyonyo?[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Huyo ni mwanaume
 
Sasa mimi ndevu kama hizi ninazo pumbuni tu.....unaweza kunibusu?
 
Kwakuwa wewe unapenda wenye ndevu unafikiri wote wanazipenda...
 
Ndevu hata wanawake wanazo, siyo inshu tena..
 
Kuwa na ndevu ni maumbile aliyopewa mtu na Muumba wake.Unapotoa hoja kama hii jaribu kufikiria unamkosoa nani? Mwenyenzi Mungu/wazazi au unamaanisha nini? Kufuru zinaanzia kwenye hoja za kujiona Bora zaidi! USIMSAHIHOSHE MUUMBA WAKO.
 
Ni sawa na mtu akiuliza hivi wanawake mnakosaje matako??...

Maswali yote mawili yote n ya kijinga kwa mwny timamu hawez kuuliza hivo hasa ukizingatia hizi n natural process na inherited characters
 
Mwanaume mwenye ndevu anavutia sana

Mimi napenda ziwe nyingi nyingi kama alizofuga sa hivi Nick Mutuma,soooooooooo sexy ☺
 
Mwanamke unakosaje sura?.
Unazidiwa uzuri Hadi na NSAJIGWA FUSO
 
Naam. Ujumbe huu uwafikie na wanaume wote wanaotuponda wanawake tusio na tako wala sura maana hatukujiumba.
 
Zikiwa kichwani tunaita nywele
Zikiwa kidevuni tunaita ndevu
Zikiwa mwilini tunaita vinyweleo
Zikiwa chini ya kitovu zinaitwaje
Maana nimesahau kidogo huwa zinaitwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…