Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mwanaumeUjinga wa kiwango cha lami. Kama unapenda ndevu tafuta wanaume sampuli ya Osama na sio kuponda maumbile ya wengine. Unafikiri wanaume nao tuna akili za kijinga kufanya surgery kuongeza makalio na nyonyo?[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Shikamoo dada..Mi naona mwanaume kukosa hela ndo kitu mbaya sana zaidi hapa duniani, kwani mandevu naenda kuyauza sokoni?
Zitakupendeza.Sasa mimi ndevu za nn?
Kuwa na ndevu ni maumbile aliyopewa mtu na Muumba wake.Unapotoa hoja kama hii jaribu kufikiria unamkosoa nani? Mwenyenzi Mungu/wazazi au unamaanisha nini? Kufuru zinaanzia kwenye hoja za kujiona Bora zaidi! USIMSAHIHOSHE MUUMBA WAKO.Mwanaume inabidi awe na ndevu zile zilizo panda hadi huku mashavuni halafu ziwe fupi sio zile zinazokua kwa kidevu tu. Mwanaume hata ukimkiss zile ndevu zikiwa zinachoma choma zinaleta raha fulani hivi.
Sasa unakuta mwanaume mwingine hana hata ndevu hata ukimkiss unahisi unamkiss mwanamke mwezio hata anakuwa asisimui. Wanaume wasiokuwa na ndevu saa nyingine unaweza kudhan ni katoto ka form one ukimshika mashavuni au kidevuni.
Mwanaume unakosaje ndevu?
View attachment 1472533
Ni sawa na mtu akiuliza hivi wanawake mnakosaje matako??...Mwanaume inabidi awe na ndevu zile zilizo panda hadi huku mashavuni halafu ziwe fupi sio zile zinazokua kwa kidevu tu. Mwanaume hata ukimkiss zile ndevu zikiwa zinachoma choma zinaleta raha fulani hivi.
Sasa unakuta mwanaume mwingine hana hata ndevu hata ukimkiss unahisi unamkiss mwanamke mwezio hata anakuwa asisimui. Wanaume wasiokuwa na ndevu saa nyingine unaweza kudhan ni katoto ka form one ukimshika mashavuni au kidevuni.
Mwanaume unakosaje ndevu?
View attachment 1472533
Marhaba dogoShikamoo dada..
Kama yiioooteeeee. 😂😂😂😂
Naam. Ujumbe huu uwafikie na wanaume wote wanaotuponda wanawake tusio na tako wala sura maana hatukujiumba.Unajua kinachosababisha mwanaume aote ndevu?
Unajua kinachomfanya mwanamke awe na mtako?
Unajua kinachomfanya mwanamke awe na mbunye nene tamu ya moto yenye mafuta mafuta iliyoumuka kama mkate uliotiwa chachu?
Kumcheka mwanaume asiye na ndevu ni sawa na kumcheka mwanamke asiye na mtako. Wote siyo makosa yao labda kama unataka kumkosoa Aliyewaumba.
Pengine tulaumu tu mfumo wetu mbovu wa elimu, mfumo unaotoa wahitimu ambao hata hawajui mwili wa binadamu unavyofanya kazi hata katika kiwango chake cha msingi. Sad [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]