Hivi mwenyekiti wa chama cha TLP ni nani?

Hivi mwenyekiti wa chama cha TLP ni nani?

Hata mbumbumbu unajibiwa tu, makamu Mwenyekiti ni Tundu Lisu, na Chadema katiba yao inatambuwa vikao kwa njia ya mtandao.

Kwahiyo Lisu anafanya majukumu yake ya makamu Mwenyekiti kama kawaida, na anahudhuria vikao vyote.

Je una lingine?
Bila shaka na anawatembelea wanachama wake wa Lupilyo kwa njia ya mtandao. Basi sawa.
 
Ni mama Samia hadi atakapowekwa mwenyekiti mwingine. Ifahamike TLP ni tawi la CCM.
Samahani mkuu mi mgeni humu jukwaani; naomba nitajiwe chama, kutoka ktk vyama vyetu tulivyonavyo hapa tz, ambacho si tawi la CCM. Ahsante
 
Back
Top Bottom