OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
imagine hapo kasoma,asingekuwa amesoma je. ujinga na ushamba ukivichanganya ni bom. Kwa serikali zenye akili hii kauli ilitosha kumfukuza kaziMwigulu Nchemba elimu bado haiaja mkomboa. Wakisha pewa izo ela worldvison na NGOs zingine watajiendeshaje??
Ndiyo hiyo Tena au unasubiri tamko lingine? Nendeni tuu, CCM haiwatakiiiii, mna chembe chembe za muuza mbege maarufu kule RauNaona sasa atatupitilisha Burundi mpaka DRC tukaungane na Banyamulenge
Mkuu ndio maana mashangaa,mabeberu leo wanatakiwa ili wawe mtaji wa maendeleo ya Nchi!! Kweli kuwa uone.Kipindi cha yule waliwaita Mabeberu leo Wanapiga magoti na kubembeleza
Magufuli alikuwa haombi fedha nje kiasi hicho bali alikuwa anabana walipa kodi wa ndani.
Safiii hiyoHivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi?
Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao hawana huruma na vijana wa Taifa hili na una ndoto za kuwa Rais.
Kuna siku utapendekezwa vijana wote tupewe sumu tufe maana hutupendi hata kidogo. Hata hao USAID wamekuona kiumbe wa ajabu sana maana serikali mmeshidwa kukusanya kodi sasa mnataka na hela za NGO. Shame!
Pia, soma=> Waziri Nchemba, ameiomba USAID, kuelekeza msaada wa dola bilioni 1.3, kwenye miradi ya kipaumbele ya Serikali ya Awamu ya Sita
View attachment 2165778