Hivi Mwigulu ni Waziri Mkuu au chawa mkuu?

Hivi Mwigulu ni Waziri Mkuu au chawa mkuu?

Kajamaa katakuwa kalikuwa na mahaba mazito sana na Charlie Chaplin au Adolf Hilter." His moustache trimming style is so dumb it looks like he used kitchen scissors in the dark"
 
Naweza kumuelezea Mkumbo Madelu kama hovyo na asiyefaa hata kuongoza kundi la inzi. Je, huyu jamaa ni waziri mkuu au chawa mkuu? Mie mwenzenu baba yenu sielewi.
Mwigulu ni mwanasesere wa wazenji kiufupi yeye na mchengerwa na yule waziri wa fedha pamoja na yule wa mambo wa nje mwigulu ni kituko mbele yao
 
Kajamaa katakuwa kalikuwa na mahaba mazito sana na Charlie Chaplin au Adolf Hilter." His moustache trimming style is so dumb it looks like he used kitchen scissors in the dark"
🤣😂🤣
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Back
Top Bottom