Hivi Mzee Freeman Mbowe mbona hakemei matukio ya watu kutekwa?

Wakuu, huyu mzee wetu Freeman Mbowe toka astaafishwe kwa nguvu uenyekiti wa chadema,sijamsikia akitoa kauli yoyote kuhusu mwenendo wa matukio ya utekaji hapa nchini.
Je ameamua kutudhira watanzania?
Mbona bado mnawashwawashwa kumfuatafuata Mbowe!!? Nyie si mlimuondoa kwa dharau na kejeli!! Mambo yanawashinda mnamchokonoa, nani aliwaambia chama cha siasa kinapewa kiongozwe na wanaharakati wanye kutetewa na mabeberu!! Wanalazimisha nchi ichukuliwe na watetezi wa mashoga!! Hebu kila mtu ashinde mechi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…