Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Katiba ya Nchi ndio inapaswa kuwa muongozo wa kudhibiti tabia na mihemko ya viongozi mahala pa kazi katka nyanja zote.
Labda Mzee Kinana ametumia namna mbadala ya kusema umuhimu wa kuboresha katiba ya sasa ili kuondokana na tabia mbaya za baadhi ya viongozi.
Nimemsikiliza Mzee Kinana kwenye hafla ya uongeaji wa kuonesha sura kwenye msiba wa Kamanda Zelothe, sijaona bayana sifa mahususi za Marehemu ambazo zimesemwa, kama ambavyo yeye mwenyewe Mzee Kinana hana na hakuwa na uspecial wowote wa kukebehi vyeo, akili, usomi, madaraka,, etc
Viongozi acheni huu utamaduni wa majungu na fitina na kutafuta sifa na kusema sifa za Marehemu juu juu bila kutaja mifano dhahiri ya maisha yao ya utumishi sio jambo jema, kuna watu wasahaulifu sana, kuna clip iliwahi kuonesha ubabe wa Zelothe akiwa mwenyekiti wa CCM hapo Arusha, Zelothe akiwa RPC kule Rukwa kama ilivyo kwa Mapolice ambao wanakufa na kuacha laana kwa vizazi vyao vyote.
Hotuba ya Mzee Kinana kwenye huo msiba imekuwa misplaced, hivi mtu wa rushwa, muuza meno ya tembo, haramia wa huko Baharini, mtu aliechakaza tembo wetu lukuki kweye hifazi zetu za wanyama ana sifa za mifano ya tabia?
Tuache utani mkienda kuhani misiba acheni kuongea ufala, wote tunawajua sana, wote mnafahamika.
Ni hayo tu
Rusha mawe kwenye comments
Wadiz