Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6,mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba wao ni private sponsered.kiukwel mwenyewe wakati niko secondary nlikua na ndoto za kusoma mzumbe cku moja kutokana na sifa kem kemu nlzokuaga nazckia zikikitangaza hcho chuo,bac ikatoe muda wa kufanya application ulvofka,nkaaply udsm,mzumbe,IAA na udom,Matokeo yangu hayakuwa mabaya sana kiac cha kunifanya nikose chuo chochote hapa ulimwenguni..cha kushangaza selection zlvotoka nkawa nimepata udsm,IAA,na Udom lakini mzumbe wakawa wamenipga chini,wel nkaconfirm zangu kwenda udsm lakini nkiwa na huzuni kwan chaguo langu lilikua mzumbe na wao wamenpga chini,kufika udsm na nilipozoea shule..nkaanza kufanya comparisons kati ya udsm na mzumbe nione wapi pana shule ya ukweli,nkaja kugundua kwamba mzumbe wanahitaji miaka takribani 50 ili kufikia nusu ya mafanikio ilyonayo udsm..sasa nkawa najiuliza zile mbwembwe nlzokua nazkia kuhusu mzumbe zlikua ni za nin?baadae tcu wakashka rungu la kupangia wa2 vyuo,ndo siisikii tena hyo mzumbe kabisa,cjui imefia wapi vile,nimebaki kuckia madogo wakikimbilia kuaply udsm,sua,udom,ifm na muhimbili..cjui wamegundua mchezo gani mchafu unaochezwa huko mzumbe hadi hawakishobokei tena kama enzi ze2...[/QUOT
Kijana hili ni Jukwaa la Great Thinkers, unapopost vitu jaribu kuwa na dalili za utafiti kidogo vinginevyo ulitakiwa ukayaongelee vijijini uliko mtaji wa Magamba siyo kwa watu makini km humu. Kwa kukusaidia haijawahi kuwa na kigezo kama hicho ulichokisema. Siku zote wanaangalia compitive certificates,Mzumbe kuna baadhi ya kozi kama BAF zina ushindani mkubwa koliko chuo chochote hapa nchini. Kama huamini kaulizewanaojua watakusaidia.
Kwa taarifa yako kuna Kozi nyingine zinazotolwa Mzumbe ajira zake hazisumbui, kuna wanafunzi wanatoka tu Mzumbe na Kwenda kwenye ajira moja kwa moja. Kama utaendelea na mawazo kama haya ya mkosaji wataokuja kukuomba ushaur watakua wamepotea kama wanaotegemea maisha bora kuletwa na Magamba.
Kama bwana mdogo amechemka basi wewe utakuwa kuni zinazoungua kumfanya mtoa hoja achemke.
Nadhani ulitakiwa kama unania ya kumkosoa mtoa hoja uwe na strong points za kutetea hoja yako kwa maana uwe CRITIC.Sasa hicho ulichoandika hapo kwenye RED ni vague statements.Inaonyesha jinsi gani unatetea hoja kwa mapenzi binafsi pasipo kudadisi nini kiini cha hoja.
Mtoa hoja ametoa uchambuzi wake usio na evidence na wala chanzo cha utafiti ,pia majibu yake ni Biased.Ila sio ticket ya kupinga 100% alicho ainisha.
Kwa takwimu za Ranking Web of World Universities ambazo zimetolewa 31/7/2011 UDS ni chuo cha 3,438 duniani wakati Mzumbe ni chuo cha 10,107.Tena haitoshi kwa Tanzania Mzumbe katika Rank hiyo Kipo Nyuma ya SUA,Hubert Kariuki,Open University of Tanania.
Ubora wa chuo unapimwa kwa vitu vingi sana ,Machapisho ya Chuo-kutokana na tafiti mbalimbali,Wahitimu wanaomaliza (Competence yao Global),links mbalimbali za chuo,Uwezo wa walimu wa chuo(qualification zao) na staff wengine nk..
Katika vigezo hivyo-sitapenda kukuchosha sana ila hakuna hata kimoja ambacho Mzumbe inaweza ikaizidi UDSM.Ukitetea kuhusu competence ya wahitimu utakuwa unajidanganya kwa kuwa kwa % UDSM itakuwa juu sana kutokana na kuwa inawanahitimu wengi wengi zaidi ya Mzumbe Kuanzia Undergraduate mpaka Postgraduate (Master & PhD) ,hivyo kigezo hicho ukilinganisha kwa % Mzumbe itakuwa imeachwa mbali sana,Pia Mzumbe ni chuo kichanga ukilinganisha na UDSM kwa kigezo hicho.Na hata kwa uhalisia Global wahitimu wa UDSM bado wapo compitance zaidi ya Mzumbe-(Mifano hai ipo ,Dr.Asha Rose Migiro,Prof. Baregu,Prof Lipumba,Prof Pius Yanda,Dr Azaveli Rwaitama n.k-hawa ni baadhi ya watu wanao compete global na ni mazao ya UDSM)
Nimekupa angalizo kuhusu Competence makusudi kwa sababu ndio hoja ambayo wengi wanaitetea wakati si kweli.
Angalau ungekuja na hoja kuwa wanafunzi wanaomaliza MZUMBE-BAF wakienda kufanya mitihani ya ACCA wanahitimu kwa % kubwa kulinganisha na wanafunzi wa B-COM UDSM hapo ungekuwa umejenga hoja kuliko hizo Vegue statement kwenye Red