Hivi Mzumbe University siku hizi mbona haivumi?

we jamaa wa ajabu sana. Kwanini umwambie mwenzako hivyo? Ni ndoto zake, na sio zako. Mbona we kigeugeu hivi? Yaani mipango yake ndio unajidai kuipangua, wewe nani? Mkuu hebu kuwa mpole, JF SIO SEHEMU YA KUTOLEA HASIRA ZAKO.

Achana nae huyo rafiki! Labda boom hajapata ndomana analeta hasira zake hadi huku.
 
Achana nae huyo rafiki! Labda boom hajapata ndomana analeta hasira zake hadi huku.

wewe dogo em nenda kafue uniform zako za shule maana unaongea ujinga tu,badala uulize vitu vya msingi unaaza kushadadia mambo ya vyuo,we hata boom unajua ni nini?
 
hivi kunatofauti gani
kati ya bachelor of
science in computer
science na bachelor of science with computer
science? ? ? Na ipi ndo
ipo fresh?
 

sibishani na mtoto wa sekondari mimi,maana hata njia za kudahiliwa chuo uzijui,akili yako ya kufikilia kulishwa na baba kawapelekee wawaza NECTA wenzako usisambaze utapishi kwa wasomi wa elimu ya juu na wafanyakazi.
 
 
 
hivi kwa MFANO mtu amemaliza PCM alafu ukapata div 1 ya 3, au 1 ya 4 au 1 ya 5, mtu huyu anaweza kuapply Bsc.in medicine pale MUHAS? mtamshauli vp kama yeye anapenda kusomea kozi hyo lakini akusoma PCB ?
 
 
hivi kwa MFANO mtu amemaliza PCM alafu ukapata div 1 ya 3, au 1 ya 4 au 1 ya 5, mtu huyu anaweza kuapply Bsc.in medicine pale MUHAS? mtamshauli vp kama yeye anapenda kusomea kozi hyo lakini akusoma PCB ?

hey MUHAS na chuo kingine chochote cha medical school wanakuwa na requirements zao ikiwemo kusoma biology,chemistry na physics ila mtu aliye soma CBG nae ruksa,kama haujasoma hayo hata ukiwa umefaulu vp hawakukubali.
 
 
inchi gani ni nzuri kwa kusomea upailoti (aeronautical engineering) ??
 
Ninapost kwenye hii thred kwa masikitiko makubwa
1. Ww ni mshamba sana
2. Inaonekana ww ni miongoni mwa wale waliokua wasongo sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nikiwa na maana primary umesoma sitimbi, sekondari mirambo boys na advance ni Mzumbe so umepungukiwa kitu kinaitwa exposure. Ulivyofika mjini umeshangazwa sana na hiyo mall ukliyoikuta mlimani si ndiyo.
3. Kwanza ni coz gani hiyo inayokupa kiburi cha kucompare na mzumbe?
4. After all kama ungekua na cream division basi mzumbe wangekuchukua bila shida
5.Wenzako wanaojiamini miaka hiyo walikua wanaomba chuo kimoja ndugu yangu na wanapata.
6. Kakojoe ukalale usitusumbue hapa na uvyuo vyuo wako hapa.
7. Mtafute Marketing meneja wa SBL ndo utajua makampuni yanafuata bongo yako ama jina la chuo.
 
hey MUHAS na chuo kingine chochote cha medical school wanakuwa na requirements zao ikiwemo kusoma biology,chemistry na physics ila mtu aliye soma CBG nae ruksa,kama haujasoma hayo hata ukiwa umefaulu vp hawakukubali.

Je hata kuapply masters kwa cheti cha engineering wana bana?
 

we ndio lishamba la washamba,nguruwe mkubwa wewe,hasira zako za kuishia kusoma diploma hapo mzumbe ndo unakuja kuzimalzia kwangu,hvi unafikiri nchi hi kuna msomi asie taman kuwa na gamba la udsm au unaongea 2 ili nawe uonekane umechangia..kibudu mkubwa wewe
 
Je hata kuapply masters kwa cheti cha engineering wana bana?

kama unataka udaktari huna haja ya kuuvizia mpaka upate masterz ukiwa 4m4 we nenda kapige diplo mtwara maana kuna chuo kinatoa hizo ishu,ila sijawahi kusikia mtu alie ishiwa ideas mpaka masterz ya engineering anaamua kwenda kuapply bachelor ya udaktari dah huyo bora akawe ticha wa primary.
 
 

hata mimi nilikuwa natamani kusoma ud lakini kwa fani ya enginiya tu,pale nilipobadili mawazo ya kuwa eng basi nikatoa ud as my 1st priority na kuplug mzumbe.Mtu anapokuwa mchanga kwenye game la elimu=kozi anaweza akatamani hiko,baadae pale anapojitambua na kujua anatakiwa kusoma nini ili awe nani....basi ndoto za UD uwa zinapotea automatic.kwa mfano kozi kama za medicine,baf n.k UD hazipo,sasa kama mtu utaongozwa na makelele ya watu kama wewe basi mtu kama huyu upo uwezekano mkubwa za kuharibu ndoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…