dah...kaka mzee A.K.A kibabu inamaana UDSM inachukua hadi watu wa namna kama ya senetor? Basi kweli UD imekwisha,ili irudishe heshima inabidi ipunguze idadi ya vilaza kwa kuchukua waliofanya vizur tu kama ifanyavo mzumbe,ardhi na sua maana uwiano wa waliofaulu na idadi ya vilaza ni 5:1 respectively.
sa mzumbe kuna elimu gani ya maana ambayo inaweza kuitikisa udsm,bwana mzumbe level yake ni vyuo kama tumaini,muccobs na saut,co level ya udsm hata kwa point moja.
SUA hakuna siasa. Najivunia sana ku graduate SUA.
jamaa alitemwa kwa hiyo hana choice zaidi ya chuki, Inaonekana hata madem wakimkataa huwa anawapakazia mbaya, Anafaa kuimba taarabu huyomkuu inaonekana una chuki binafsi na mzumbe ila ukweli unaufahamu au unataka kuthibitisha ukweli kuwa mzumbe ni chuo bora hapa jf.
check hili nalo,hako ka diploma kako ka law ulikokapata hapo kwenye tution ya mzumbe ndo unajiona nawe umemalza kila k2?bado hadi uje chuo kiku cha tanzania ndo nawe utaingia kwenye list ya waloenda shule,othrwise kalime.
Na sisi tulio graduate New York University (NYU)..Tusemeje sasa.
Jamani sisi graduates wa SUA hatujafunzwa ubishani usiokuwa based on vivid facts coz kabla jambo hujalitetea lazima uwe na detail za kutosha kujidefend na kuraise arguement, wakuu na wana jf wenzangu to prove that we are great thinkers tuondokane na thread hizi zisizo na tija,we are all one bila kujali umesoma chuo gani,tutumie taaluma zetu kwa kuiletea maendeleo nchi yetu kwa manufaa ya vizazi vyetu vijavyo
pumbavu, we si ulidisco udom acha kudanganya jukwaa umegraduate tunakufahamu fika.stupid.
Sikutegemea mtu na akili zako unaropoka utumbo kama huu. Mtu huna hata lugha ya kistaarabu, kazi kuponda watu na kuwa kigeugeu. Huu ni ujinga.
Huyu Senetor inaonekana alivyokuwa shule ya msingi akupitia haya mambo ya majigambo ndio maana anayaleta leo akiwa chuo, kuruka hatua katika maisha ndio hasara yake hii sasa lazima airudie, sisi wazoefu wala hatuangaikii mambo ya kufaulu maana ni part ya maisha kuchana paper so kawaida xanaaaa....SENETOR ACHA ULIMBUKENI YOUR GROWN MAN NOW.