huyu kuna maharahage kala sio kawaida kabisaBora wewe umesema cha maana. Mijanaume mingi kujifanya much know inaweza kuyakabili matatizo na kujiamulia mambo yao binafsi bila ushauri mwisho wa siku wanaharibu tu..
Afadhali wanaume wa kanisa lake wamejitambua.huyu kuna maharahage kala sio kawaida kabisa
eti hata yeye anaona kaandika cha maana sana, kiukweli sijaona baya lolote hapo kuwa na ushirikiano
amenishangaza kwa kweli huyu mtoa mada ila ni mawazo yake tuangalie wachangiaji wanaokuja.Afadhali wanaume wa kanisa lake wamejitambua.
We angalia mafunzo mengi ya maisha hasa ndoa mwanamke ndo anapewa mafunzo peke yake, mwanaume hafundishwi chochote. Mwisho wa siku unamkutaisha mwanamke aliyefundwa na mwanaume asiyefundwa imagine nini kitatokea hapo.
Semina nyingi siku hizi ni za kumuinua mwanamke. Wanaume wamekaa tu wakishangaa shangaa. Miaka 50 ijayo dunia itakuwa nzuri sana kwa upande wa kike, yetu macho!